Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna wajinga kila mara wanaangalia huu uzi walidhani wameula, shubamiti, utachimba down, hadi week mbili zipite ndo majina ya toke na kama umewatangazia watu kuhusu hili ujue tu huta pata kitu.
 
Hahahahaha Vijana Wana moto asee
 
Kuna wajinga kila mara wanaangalia huu uzi walidhani wameula, shubamiti, utachimba down, hadi week mbili zipite ndo majina ya toke na kama umewatangazia watu kuhusu hili ujue tu huta pata kitu.

Week hii majina uhakika
 
Mkaisome vyema PGO sio mawakili wasomi tukiwauliza mnatoa macho tu kama madibwine
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Usaili unafanyika mkoa husika,mikoa mingi wameshafanya usaili,imebaki michache tuu
Waliongeza muda wa maombi na usaili ukagairishwa mikoa yote Tanzania mzima na ndio maana hata kwa graduate majina yao hayajatoka mpaka leo maana mpaka wafanye usaili kidato cha nne na kidato cha sita ndio yatoke majina ya usaili ya graduate
 
Aaah apo sawa sasa
 
Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
 
Inaweza ikawa Kweli kama kuna upungufu mkubwa sana wa wataalamu ila navyofahamu mara nyingi wanaanza na lindo kidogo ili aweze kujua majukumu yao pia kupitia Police General Order (PGO)
 
Lakini je pamoja na kuanza na lindo hivi mshahara wake si analipwa kutokana na taaluma yake au ipoje hio mkuu,tuweke sawa hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom