hyassin92
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 583
- 631
Yani yatatoka kwa pamoja, urefu futi 5 na nusu, uwe mbuvu ya maana , sio kimbau mbau, uwe na speed kali kali , I mean mwendo mbaya, hahaahaahhahaMajina dar wanatoa lini
Yani yatatoka kwa pamoja, urefu futi 5 na nusu, uwe mbuvu ya maana , sio kimbau mbau, uwe na speed kali kali , I mean mwendo mbaya, hahaahaahhahaMajina dar wanatoa lini
Hahahaha ila wewe jamaa weweYani yatatoka kwa pamoja, urefu futi 5 na nusu, uwe mbuvu ya maana , sio kimbau mbau, uwe na speed kali kali , I mean mwendo mbaya, hahaahaahhaha
Yani yatatoka kwa pamoja, urefu futi 5 na nusu, uwe mbuvu ya maana , sio kimbau mbau, uwe na speed kali kali , I mean mwendo mbaya, hahaahaahhaha
Hahahahaha Vijana Wana moto aseeKuna wajinga kila mara wanaangalia huu uzi walidhani wameula, shubamiti, utachimba down, hadi week mbili zipite ndo majina ya toke na kama umewatangazia watu kuhusu hili ujue tu huta pata kitu.
Hahaha chuki ni mbaya sanaaKuna wajinga kila mara wanaangalia huu uzi walidhani wameula, shubamiti, utachimba down, hadi week mbili zipite ndo majina ya toke na kama umewatangazia watu kuhusu hili ujue tu huta pata kitu.
Kuna wajinga kila mara wanaangalia huu uzi walidhani wameula, shubamiti, utachimba down, hadi week mbili zipite ndo majina ya toke na kama umewatangazia watu kuhusu hili ujue tu huta pata kitu.
Kweli mkuu???Na kwa wale kidato cha nne na kidato cha sita usaili unaweza ukawa lini?Week hii majina uhakika
ndo hao wanaokulindia mali kwa miaka yote mpaka mida hii jombaaJeshi la Polisi ni zero kabisa! Yaani mtu kaferi form four ana four ya 26 hadi 32 ndiyo akawe mwana usalama wa kulinda raia na mali zake kweli??
Achana nae kaka binadamu hana wema hata umfanyie nnndo hao wanaokulindia mali kwa miaka yote mpaka mida hii jombaa
Kweli mkuu???Na kwa wale kidato cha nne na kidato cha sita usaili unaweza ukawa lini?
Waliongeza muda wa maombi na usaili ukagairishwa mikoa yote Tanzania mzima na ndio maana hata kwa graduate majina yao hayajatoka mpaka leo maana mpaka wafanye usaili kidato cha nne na kidato cha sita ndio yatoke majina ya usaili ya graduateUsaili unafanyika mkoa husika,mikoa mingi wameshafanya usaili,imebaki michache tuu
Waliongeza muda wa maombi na usaili ukagairishwa mikoa yote Tanzania mzima na ndio maana hata kwa graduate majina yao hayajatoka mpaka leo maana mpaka wafanye usaili kidato cha nne na kidato cha sita ndio yatoke majina ya usaili ya graduate
Waliongeza muda wa maombi na usaili ukagairishwa mikoa yote Tanzania mzima na ndio maana hata kwa graduate majina yao hayajatoka mpaka leo maana mpaka wafanye usaili kidato cha nne na kidato cha sita ndio yatoke majina ya usaili ya graduate
Inaweza ikawa Kweli kama kuna upungufu mkubwa sana wa wataalamu ila navyofahamu mara nyingi wanaanza na lindo kidogo ili aweze kujua majukumu yao pia kupitia Police General Order (PGO)Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Inaweza ikawa Kweli kama kuna upungufu mkubwa sana wa wataalamu ila navyofahamu mara nyingi wanaanza na lindo kidogo ili aweze kujua majukumu yao pia kupitia Police General Order (PGO)