Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naomba taarifa vijana Dar Usail watafanya lini!?
Dar ni mkoa mgumu sana kwa kweli kwa mtu kama huna connection kupenya(sikukatishi tamaa lakini) ila Dar niijuavyo ah watoto wa baba kanituma ni wengi sana,heri ukaombee nafasi huko Kigoma,Rukwa,Katavi watu mwamko bado ni mdogo ila siyo Dar,Arusha,Mwanza,Iringa,Mbeya,Morogoro,Pwani,Dodoma nk..

Usishangae wa Dar wakaitwa kimya kimya.
 
Hakuna ambaye hatofanyiwa usaili,Wa Dodoma MM hawa wa Astashahada,Stashahada,Shahada wanahitajika wasiozidi 200 hivyo watakaoitwa kwa usaili watakuwa wapo kwenye zaidi 90% kupata nafasi.

Mawili mnaweza kuitwa Dodoma MM au mkaitwa kila muombaji aende ofisi za RPC katika mkoa alipo.
Mkuu form six wanahitajika kiasi gani
 
Dar ni mkoa mgumu sana kwa kweli kwa mtu kama huna connection kupenya(sikukatishi tamaa lakini) ila Dar niijuavyo ah watoto wa baba kanituma ni wengi sana,heri ukaombee nafasi huko Kigoma,Rukwa,Katavi watu mwamko bado ni mdogo ila siyo Dar,Arusha,Mwanza,Iringa,Mbeya,Morogoro,Pwani,Dodoma nk..

Usishangae wa Dar wakaitwa kimya kimya.
Akuona mtaalam unafanya Analyst job
 
Hakuna ambaye hatofanyiwa usaili,Wa Dodoma MM hawa wa Astashahada,Stashahada,Shahada wanahitajika wasiozidi 200 hivyo watakaoitwa kwa usaili watakuwa wapo kwenye zaidi 90% kupata nafasi.

Mawili mnaweza kuitwa Dodoma MM au mkaitwa kila muombaji aende ofisi za RPC katika mkoa alipo.
Hapo nimekusoma Kiongozi
 
Mkuu Jeshi halikaririki kusema utaratibu ni hivi na hivi nitakudanganya,Jeshi linaweza kuandikisha Askari kulingana na mahitaji yake.

Mwaka jana wapo vijana wa JKT walipiga kozi RTS Kihangaiko na wengine wakapiga kozi Oljoro(hawa ni vijana wa kidato cha sita-science) na mwaka jana pia walichukua wataalamu wa afya kutoka mtaani wakapiga kozi,hivyo hawakaririki mkuu..
Mkuu hv uhamiaji wao utaratib wao upo wa kujiunga upo vipi??
 
Hakuna ambaye hatofanyiwa usaili,Wa Dodoma MM hawa wa Astashahada,Stashahada,Shahada wanahitajika wasiozidi 200 hivyo watakaoitwa kwa usaili watakuwa wapo kwenye zaidi 90% kupata nafasi.

Mawili mnaweza kuitwa Dodoma MM au mkaitwa kila muombaji aende ofisi za RPC katika mkoa alipo.

Daah bora tufanyir mikoani tuu kwakweli
 
Kama nafasi ni zaidi ya 3200 na elimu kuanzia astashahada mpaka shahada hawazidi 200 ina maana kidato cha nne na sita watakuwa zaidi ya 3000.

Naombeni kuuliza kuna jamaa ana diploma alituma maombi posta ila zile document zake i.e vyeti hakuzibana na pini kwa pamoja et inaweza leta shida..??
 
Mkuu hv uhamiaji wao utaratib wao upo wa kujiunga upo vipi??
Uhamiaji hawana tofauti na PT mwaka juzi ndiyo mara ya mwisho kuajiri na kozi yao walipigia CU Kimbini JKT.

Walichukua vijana waliopitia JKT wenye Shahada na Stashahada za Juu ila wao wanachukua sana hizi kozi za social science sana.

Ila kwa kuwa sasa Uhamiaji limekuwa jeshi kamili lazima mwaka huu waajiri askari wengi sana kama idadi hii ya PT ili wakidhi vigezo vya kuitwa Jeshi kweli.
 
Hata diploma hua wanaajiri kwa upande wa uhamiaji..
 
Kuna issue gani mkuu..mbona wasema kuanzia leo tuwe online
Muda wowote SACP,msemaji wa jeshi la polisi atatoa GO AHEAD ya usaili kwenye tovuti yao na kupitia kwa vyombo vya habari ila kuna uwezekano wiki ijayo watu wakaanza usaili kwa mikoa mingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom