Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

kumradh naomba kama kumtu anaordha ya majina ya usaili jeshi la la polisi kwa zile kada/fani maalumu anisaidie what's app 0624404031
 
Acha roho mbaya ,kwani anapelekwa tuu? si anapewa mafunzo...
Kwa Elimu hiyo,huyo ni kilaza kabisa,wasomi wazuri kuanzia Form six,stashahada,mpaka shahada wapo,kwanini upereke vilaza!!
Hawa ndio walikuwa manunda shuleni,harafu unataka uwakabidhi silaha!!!Hawa ndio wanaoteka na kubaka!!!
 
Sijajua Mkuu.Kwa kuwa kozi ni mpaka Januari mwakani(japo inaweza kubadirika) ni muda wowote wataitwa.
Mkuu kwa ile interview iliyofanyika tanga kma mtihani unadhani kikubwa kinachozingatiwa nini kwenye kusahisha mule nasikia ilikuwa surprise watu macho yamewatoka
 
Wakuu kuna ukweli gani kwamba muda wa kutuma maombi ya upolisi umeongezwa na vigezo vimebadilishwa naomba kujuzwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom