Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Oktoba tarehe za mwanzo mwanzo mbivu na mbichi mtazijua..

Japo nasikitika kuwaambia vigezo vitawaangusha wengi sana watu wametuma maombi MM hata wasio na sifa,yaani mtu hana sifa hata moja labda sifa ya kuwa na Shahada au Stashahada,Astashahada tu.

Wapo walioandika barua zao kwa kuchapa kwa kompyuta,wapo walioambatisha vyeti vinatofautiana majina mfano mtu leaving ya kidato cha 4 anaitwa Anna Masesa ila cheti cha Shahada anaitwa Anna Richard Masesa,wengine barua za utambulisho hajaweka sasa hapo lazima upigwe chini tu.

Ila wapo walio smart sana mtu kaweka kila dokumenti aliyotakiwa kuiambatisha,barua safi kaandika,kaweka passport 3,kaweka kivuli cha namba au kadi ya NIDA,kaweka barua ya utambulisho,mwingine kaweka hadi barua ya tabia njema kutoka PT,vyeti vyake vya elimu viko na majina sawa na vimethibitishwa na mwanasheria,fomu ya hospitali kaweka yaani safi kabisa.
Mtu hana sifa ata moja kivipi aise ?
Unatuchanganya kidgo mtaalamu wa lonja uko MM
 
Choo Cha Kulipia una Lonja tamuu Sana...Upo Jikoni nini Mkuu ahhahahahaha
 
Yani polisi mna mambo ya ajabu sana ndugu zetu nyiny sasa cheti cha kuthibitisha afya kutoka kwa Daktari cha nini???kwani uyo muombaji akija uko amumpimi afya yake ???mpaka mpate cheti kutoka kwa daktari kuthibitisha afya yake je kama mtu akidanganya jee???nu mambo ya hovyo sana.

Mbona sisi atuko hivyo nakumbuka tulienda kufanyisha usaili kambi ya JKT Mgambo kipindi sisi tulikuwa tunataka tuu kuangalia vyeti kama majina yamefananu na kile kiwango chetu cha ufaulu tunachokitaka kama upo clear tunakupima ukimwi,sukari,presha na macho kama vipimo vyote uko vizuri ndo ushapata ajira no longo longo...

By the way ndo mana mna dharaulika na kuambiwa hata iyo Police General Order amuifahamu mnashangaza mno kwann mnakuwa hivi nyinyi ndugu zetu sisi wote tuna save ssme flag why mnamambo ya ajabu ajabu mpaka kuweni specific bhana....
Hahaahahah Mkuu Kila Sehemu Kuna taratibu zakee
 
umeshapita mzee jiandae tu kuwa ofisa wa polisi, maana kuanzia elimu ya form 6 huwa mwsho wa sku wanapewa vyeo vkubwa. Jiandae kula mema ya nchi
Hivyo vyeo polisi si nasikia unaweza sotea zaid ya miaka 10 kufika level ya inspekta tu,..by the way nimepokea simu yao jtatu usaili pale kurasini
 
umeshapita mzee jiandae tu kuwa ofisa wa polisi, maana kuanzia elimu ya form 6 huwa mwsho wa sku wanapewa vyeo vkubwa. Jiandae kula mema ya nchi
Acha kuwadanganya madogo ukiwa na form six utabaki kuwa askari wa kawaida tu au labda upate koplo hata wenye diploma huishia kupata vyeo vya kawaida tu. Kule polisi ishu ni degree hivyo madogo mukipata ajira hakikisheni mnajindeleza wale wenye manyota msidhani ni form four au six wengi wao wana digrii,masters...n.k
 
humu vijana msipokuwa makini mtaingizwa cha kike na matapeli.

Kuna mtu kasema ana shahada na kaitwa usaili jtatu Kurasini.
 
Acha kuwadanganya madogo ukiwa na form six utabaki kuwa askari wa kawaida tu au labda upate koplo hata wenye diploma huishia kupata vyeo vya kawaida tu. Kule polisi ishu ni degree hivyo madogo mukipata ajira hakikisheni mnajindeleza wale wenye manyota msidhani ni form four au six wengi wao wana digrii,masters...n.k
ushawahi kuusoma muongozo wa vyeo vya polisi?
 
Wakubwa,kama mnasubiria majina yatoke mtasubir sana...njia wanayotumia kuwaita watu kwenye usaili ni kwa kupiga simu na watu wamepigiwa wengi tu
Mmmmhhh Acha Kutisha watu.Wao walishasema taarifa Rasmi zitatoka Kupitia Mitandao na tovuti yao.Mbona taarifa zao zote zimekuwa hivyo.Acha kuandaa kutapeli watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom