Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mar 25, 2020
29
95
Usaili unafanyika mkoa husika,mikoa mingi wameshafanya usaili,imebaki michache tuu
Waliongeza muda wa maombi na usaili ukagairishwa mikoa yote Tanzania mzima na ndio maana hata kwa graduate majina yao hayajatoka mpaka leo maana mpaka wafanye usaili kidato cha nne na kidato cha sita ndio yatoke majina ya usaili ya graduate
 
Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
999
1,000

Aaah apo sawa sasa
 
Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
 
Inaweza ikawa Kweli kama kuna upungufu mkubwa sana wa wataalamu ila navyofahamu mara nyingi wanaanza na lindo kidogo ili aweze kujua majukumu yao pia kupitia Police General Order (PGO)
 
Lakini je pamoja na kuanza na lindo hivi mshahara wake si analipwa kutokana na taaluma yake au ipoje hio mkuu,tuweke sawa hapo
 
Gpili

JF-Expert Member
May 18, 2020
1,801
2,000
Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Ndio maana wasomi wanachukuliwa wachache wengi wanataka kula bata ikiwa hii kazi siyo ya bata,ndio Sababu ya kuwa na Askari wazembe waoga na vitambi vikubwa .mkuu wa majeshi inabidi atoe changamoto kwa vijana kuwapeleka hata Somalia Congo wakae vizuri Zaid kiuhalisia .

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
2,481
2,000
Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Hospital ya police iko wapi na inaitwaje?
 
mazaga one

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
1,111
2,000
Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Vijana mliambiwa mtulie humu ndani
 
Choo Cha Kulipia

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
959
1,000
Haya vijana ambao hamjapita JKT na nyie mmekumbukwa mtume maombi yenu pia.
Screenshot_20210921-191131~2.jpg

Ila uwe na fani walizoziainisha hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom