Nafasi za kazi Google Africa

kinetiq01

Member
Aug 25, 2006
49
0
Ndugu zanguni, tusiishie kulalamika wakenya wanatupiga bao. Hapa kuna ajira za Google kwenye ofisi zao za Nairobi na Johanesburg.

Requirements siyo ngumu, tuna wasomi wengi wenye uzoefu.

Bonyeza hapa
 
Back
Top Bottom