Nafasi za kazi Ewura

faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,596
1,717
Habari za humu wana jf samahani kwa mwenye taarifa zozote kuhusu kazi zilizo tangazwa na EWURA mwaka jana mwezi wa kumi na deadline ilikuwa ni 15th November 2017 kazi zilitangazwa kwenye zones mbalimbali kama udereva uhasibu watunza kumbukumbu nk. Mwenye update zozote atujulishe
Asanteni sana
Sent using Nokia torch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hbr za humu wana jf. Samahani kwa mwenye taarifa zozote kuhusu kazi zilizo tangazwa na EWURA mwaka jana mwezi wa kumi na deadline ilikuwa ni 15th November 2017 kazi zilitangazwa kwenye zones mbalimbali kama udereva uhasibu watunza kumbukumbu nk. Mwenye update zozote atujulishe
Asanteni sana
Sent using Nokia torch

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother mbona nov,2017 hatujafika bado!!
 
Habari za humu wana jf samahani kwa mwenye taarifa zozote kuhusu kazi zilizo tangazwa na EWURA mwaka jana mwezi wa kumi na deadline ilikuwa ni 15th November 2017 kazi zilitangazwa kwenye zones mbalimbali kama udereva uhasibu watunza kumbukumbu nk. Mwenye update zozote atujulishe
Asanteni sana
Sent using Nokia torch

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wakishatangaza Kazi huwasikii tena...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom