Nafasi za Kazi Civil Aviation Authority (TCAA), Application Deadline 4 January, 2016

Experience 5 yrs ,8,10 na kuna nyingine mpaka 15yrs duh! Nimechoka kabisa.

Kuchoka Kwako Ndiyo Furaha Kwa Wengine Kuomba Hizo Nafasi. Umenishangaza Mno Mkuu Unaposhangaa Kusikia Experience Miaka Hiyo Uliyoitaja Hapo Juu Na Kunipa Mashaka Juu Ya ELIMU Yako Na Kiwango Chako Cha Exposure. Hivi Nafasi Kama Sales Executive Officer Unataka Apewe Mtu Aliyehitimu Diploma au Degree Yake Jana Tu? Nakupa Assignment Mtafute Mtaalam Wa Masuala Ya MANAGEMENT Kisha Mwambie Akufafanulie Vizuri Kuwa Unapoambiwa " EXPERIENCE " Humaanisha Nini Kisha Ukishaambiwa Nadhani Siku Nyingine Hutakuja Humu Huku Ukilialia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom