Nafasi za Kazi, Bukoba

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,829
15,791
Frajo Media House Limited,tunatangaza nafasi ya kazi ya Afisa Masoko (Marketing) ,awe amesomea marketing au business administration kwa level ya Certificate au Diploma, awe anajua kujieleza vizuri kwa kiswahili na kiingereza,kama unaona una vigezo na uko tayari,tuma CV yako disolni@gmail.com, pia unaweza nipm nikupe namba kwa Maelezo zaidi, mwisho wa maombi jumanne tar 23 Feb. Ofisi zetu zipo National Housing,Bukoba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom