Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

Kabisa nilisema sitakuja kupoteza muda wangu,tena kama wilaya fulani nafasi zimejaa wanawaleta wilaya nyingine ili wapate nafasi,Nakumbuka hao jamaa walikuwa wanafanya intern Nachingwea na kule wameshagawa nafasi tayari wakawaleta Lindi waje Kuchukua nafasi maana ile sio interview ni ugawaji wa nafasi
Kama haikuchukui gharama na muda unao unajaribu mara nyingi kadri iwezekanavyo. Kama bado upo kwenye safari usikate tamaa ndugu.
 
Daah sijawahi ku apply kazi tpb, hii ndo mara ya kwanza nikawa na hopes, ila kwa nyuzi nilizopitia humu JF watu wamekuwa wakiongelea mambo ya connection tangia 2016/17 ...inawezekana kuna ukweli kidogo,wahenga walisema lisemwalo lipo, ngoja tuone
 
Hawa wapuuzi ni connection tu wametangaza kama formalitiz ila hizo nafasi zina watu tayari,Nimefanya interview zaidi ya mara tatu ya mwisho kuna jamaa alinifuata akaniambia hoya usipoteze muda wako kuna madogo ambao wanafanya intern wamepewa hizo nafasi nikajifanya kukomaa picha linaanza kwenye mtihani mtu amepiga maswali yoote,Afu waliochaguliwa kwenda oral ni wale wale kuna dada alihakikishiwa nafasi na kupewa majibu ikatokea nafasi inatakiwa watu watatu afu wote ni wamekuja na vimemo dada wa watu nae akamaind akabidi atoe siri kwamba walipewa mtihani na kuna watu wamewekwa kwenye hizo nafasi toka juu so ni wapuuzi sana hawa TBP upotezaji wa Muda
Usikatishe watu tamaa.Ni uongo huo!Mie nilipata kazi TPB bila kuwa na mtu.
 
Hii Bank niliwahi kuapply sana miaka ya nyuma na nikawa siitwi kwenye interview ingawa nilikuwa nina good banking experience,The first time kuitwa it was 2012 tena kwa kushikwa mkono na somebody 🤣 🤣 🤣 ,To be fair-NMB wanajitahd sana sana.
 
Hii Bank niliwahi kuapply sana miaka ya nyuma na nikawa siitwi kwenye interview ingawa nilikuwa nina good banking experience,The first time kuitwa it was 2012 tena kwa kushikwa mkono na somebody ,To be fair-NMB wanajitahd sana sana.
Mkuu bahati haikuwa yako....mbonaa wengine hatuja shikwaa mkonoo tumeitwaa interview tarehe 8

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom