Casablanca92
Member
- Apr 27, 2020
- 9
- 45
Kila la heri jembe. Hopefully utatuwakilisha vyemaNishaingia Moro tayari kwa Mashambulizi kesho asubuhi..... nishapiga jalamba tayari nasubiri kushambuliwa na kushambulia
Kila la heri jembe. Hopefully utatuwakilisha vyemaNishaingia Moro tayari kwa Mashambulizi kesho asubuhi..... nishapiga jalamba tayari nasubiri kushambuliwa na kushambulia
Nitawapa mrejesho, kama imenyooshwa au la?Kila la heri jembe. Hopefully utatuwakilisha vyema
Lini nyie mnapiga usahili mkuuWale wa Dar zone tujuane
Maswali yakoje bro?Nimemaliza kwa amani Interview![]()
Hongera mkuu..vipi ilikuajeNimemaliza kwa amani Interview![]()
Tunasubiri maana bado hata hatujapigiwa simu. Labda kama kuna yeyote wa dar zone ana updateLini nyie mnapiga usahili mkuu
Hongera tupe hint kidogo maana nakutana nao j3Nimemaliza kwa amani Interview![]()
zone gani mkuuHongera tupe hint kidogo maana nakutana nao j3
Northernzone gani mkuu
kuna jamaa angu anasema yeye kapigiwaNaona central Bado
mkuu nimekucheki pmNilifanya aptitude test 2
71% nimetumiwa email ya kwaheri
96% cjapokea email yoyote
Ujanja unasaidia... Mungu niingie hatua inayofuata but nimeambiwa kuwa ni Written jamani kisha ni Oral na unaenda kuripoti tawi la NMB la karibu nawe unapiga hiyo test![]()
Mimi bado sijaonakuna jamaa angu anasema yeye kapigiwa
Mkuu tumekuuliza maswali sana ila ukawa kimyaMmekuwa kimya sana vijana, au hamtaki kuleta mrejesho?
Mkuu sisi tukajua japo utatupa mrejesho lakin tukaona umepotea kundiniMmekuwa kimya sana vijana, au hamtaki kuleta mrejesho?
Mengine yapi mkuu embu tupe utamu.Duuuh!
Poleni sana.
Majukumu ya BO yote myafahamu
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us