Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

Hilo ni la kweli mkuu!! Shida na wao hawalipwi on time na serikali, tena kuna wakandarasi wanao supply huduma na vifaa kwao, wakikusimulia hali zao ki uchumi ni mbaya munooooo! Na kuna migomo sana kwenye huo mradi wa sgr sema ukionyesha kwenye tv, kazi unayo kazima rungu la tcra likuangukie kuwa sio mzalendo!!

Tatizo ni kuwa wakandarasi wengi hawana mitaji wanategemea walipwe ndio wawalipe wafanyakazi wao....ila wakati wanaomba walitoa status kuwa wanauwezo wa kujimudu.....kumbe ni feki tu.
 
Nimekuwa informed na Internal Source kuwa hao Yapi markez wamefanya siasa kuweka hilo tangazo Waliposikia Rais anaenda kukagua mradi morogoro ni Siasa tu hapo wala hakuna vacancies, Kwanza unaambiwa kuna redundancy kubwa inaendelea.
Kwanza hao yapi markez wanafanya hiyo tenda ktk mazingira magumu sana!! Pesa, pesa, waulize watoa huduma kwake wanavyopata shida kwenye malipo yao!!
 
Duh we noma sana
Wale walinzi waliniambia kuwa majina katika notice board tangazo likibandikwa basi na wao ndio wanaruhusu watu kuingia ndani,nikawauliza so kama nimeomba online mnasubiri mpaka muone tangazo katika board??

Ila nilibahatika kukutana na baadhi ya watu pale wakanieleza kuwa jamaa utojai wao wa kazi ni vigumu kuajiri kwa kujuana au rushwa kwasababu interview zao nyingi ni Practical, amabazo zinafanywa chini ya uangalizi wa jopo la Waturuki.
 
Hii ndo tamu sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom