Nafasi za kazi 50

MarkD

Member
Jan 10, 2012
55
95
Wapendwa, napenda kuwahabarisha kuwa nimepublish kitabu kingine cha ujasiriamali baada ya kile cha "Siri ya Ukombozi wa Mjasiriamali" sasa hiki kipya kinaitwa "Ujasiriamali kwa Vitendo" kinachohusu utengenezaji bidhaa mbalimbali za majumbani na ofisini. Kitabu hiki kinatafutwa sana mitaani hivyo nahitaji vijana 50 kwa ajili ya kusaidia usambaziji kwa muda wa mwezi mmoja ambapo kila siku malipo ni Tsh. 10,000/= na nauli ya Tsh. 3,000/=.

Tafadhali mhabarishe ndugu, jamaa ama rafiki aliyekaa kijiweni tu bila kazi, si haba hata wewe unayetafuta kazi leo jishughulishe upate kipato kwa mahitaji yako madogo madogo

Mawasiliano: 0753 12 54 74
 
makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
195
Hivyo vitabu vitasambazwa vipi? Au mtaa kwa mtaa,nyumba kwa nyimba?
Funguka kwa hilo mi nahitaji.
 
Totoz

Member
Jan 27, 2013
99
95
Wapendwa, napenda kuwahabarisha kuwa nimepublish kitabu kingine cha ujasiriamali baada ya kile cha "Siri ya Ukombozi wa Mjasiriamali" sasa hiki kipya kinaitwa "Ujasiriamali kwa Vitendo" kinachohusu utengenezaji bidhaa mbalimbali za majumbani na ofisini. Kitabu hiki kinatafutwa sana mitaani hivyo nahitaji vijana 50 kwa ajili ya kusaidia usambaziji kwa muda wa mwezi mmoja ambapo kila siku malipo ni Tsh. 10,000/= na nauli ya Tsh. 3,000/=.

Tafadhali mhabarishe ndugu, jamaa ama rafiki aliyekaa kijiweni tu bila kazi, si haba hata wewe unayetafuta kazi leo jishughulishe upate kipato kwa mahitaji yako madogo madogo

Mawasiliano: 0753 12 54 74

upo mkoa gani.
 
Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,312
1,500
Wapendwa, napenda kuwahabarisha kuwa nimepublish kitabu kingine cha ujasiriamali baada ya kile cha "Siri ya Ukombozi wa Mjasiriamali" sasa hiki kipya kinaitwa "Ujasiriamali kwa Vitendo" kinachohusu utengenezaji bidhaa mbalimbali za majumbani na ofisini. Kitabu hiki kinatafutwa sana mitaani hivyo nahitaji vijana 50 kwa ajili ya kusaidia usambaziji kwa muda wa mwezi mmoja ambapo kila siku malipo ni Tsh. 10,000/= na nauli ya Tsh. 3,000/=.

Tafadhali mhabarishe ndugu, jamaa ama rafiki aliyekaa kijiweni tu bila kazi, si haba hata wewe unayetafuta kazi leo jishughulishe upate kipato kwa mahitaji yako madogo madogo

Mawasiliano: 0753 12 54 74
mkoa gani? vip kuna interview? elimu je? ndio maswali yanayonisumbua mkuu nijibu mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom