nafasi za kazi 5

Totoz

Member
Jan 27, 2013
99
18
habari ndugu zangu nimepewa tangazo la kazi kwa nahaohitaji. Wanahitajika watu 5. Vigezo. Ujue kusoma na kuandika vizuri. Uwe na umri kuanzia miaka 18 nafasi 4 wasichana na 1 mvulana. Ila kazi ni yamuda sio yakudumu itategemea na ufanisi wako. Kwa anae hitaji ni mp
 
Shukrani.
Dodosa kidogo tujue ata ni kazi gani? Au ata kampuni gani? Maana sidhani kama kuna kazi isiohitaji mjuzi wa kusoma na kuandika,
 
Haya sasa vijana fursa ndio hiyo!!!!!!

Japo ametangaza nafas za kazi na jina la kampuni hajui

Changamkieni fursa iyo
 
Haya sasa vijana fursa ndio hiyo!!!!!!

Japo ametangaza nafas za kazi na jina la kampuni hajui

Changamkieni fursa iyo kutoka kwa totoz Totoz
 
Last edited by a moderator:
habari ndugu zangu nimepewa tangazo la kazi kwa nahaohitaji. Wanahitajika watu 5. Vigezo. Ujue kusoma na kuandika vizuri. Uwe na umri kuanzia miaka 18 nafasi 4 wasichana na 1 mvulana. Ila kazi ni yamuda sio yakudumu itategemea na ufanisi wako. Kwa anae hitaji ni mp
Ni kazi gani, mshahara kiasi gani na kituo cha kazi ni wapi.
 
nikazi katika kampuniz a crealing and fowarding.. Mshahara per day ni elfu 10: but leo nimepokea simu kutoka kwa wenye hiyo kampuni kuwa wamesha pata watu wao. Asanteni jamani ila akitangaza tena nitawajuza.
 
sio kweli, umepewa tangazo la kzi jana halafu leo wakupigie kua wameshapata, hata hujui ni kazi gani, wapi n.k? We kama una kazi shukuru Mungu maana ni kama vile unapima kuona wangapi watacomment.
 
Back
Top Bottom