Nafasi za kazi 43 SADC

Naomba mwenye kufahamu contacts za SADC FOCAL POINT wa TANZANIA ili ni apply.

As per their website, find it below. Unaweza pia kuwapigia simu kuconfirm!

Mr. Innocent E Shiyo,
SADC National Contact Point

Acting Director,
Department of Regional Cooperation,
Ministry of ForeignAffairs and International Cooperation
P.O. Box 9000,
DAR ES SALAAM,
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
.
Tel :
(+255) 22 2120532
Fax :
(+255) 22 2120529
Mobile :
(+255) 784 511 626
Email:
shiyo27@yahoo.co.uk
CC: drc@foreign.go.tz
 
As per their website, find it below. Unaweza pia kuwapigia simu kuconfirm!

Mr. Innocent E Shiyo,
SADC National Contact Point
Acting Director,
Department of Regional Cooperation,
Ministry of ForeignAffairs and International Cooperation
P.O. Box 9000,
DAR ES SALAAM,
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
.
Tel : (+255) 22 2120532
Fax : (+255) 22 2120529
Mobile : (+255) 784 511 626
Email: shiyo27@yahoo.co.uk
CC: drc@foreign.go.tz

Nashukuru sana lakini nimejaribu kutuma kupitia hizo email address zime fail. Mimi naiishi mikoani na deadline ni 31st May 2017.
 
mkuu so application tunatuma kwa kupitia hii email eeh shiyo27@yahoo.co.uk
 
Tanzania hatutakiwi kuomba angalieni vizur wanadai tushakuwa represented hii nchi figisu haziishi sasa lini mtu kaenda au ndo hivyo watu wanazaliwa na nafasi mikononi
 
HATUTAKIWI KWENYE NAFASI YA DDIRECTOR LAKINI ZINGINE ZOTE RUKSA. HEBU SOMA VIZURI ACHA PAPARA
 
Last edited by a moderator:
Tanzania hatutakiwi kuomba angalieni vizur wanadai tushakuwa represented hii nchi figisu haziishi sasa lini mtu kaenda au ndo hivyo watu wanazaliwa na nafasi mikononi

HATUTAKIWI KWENYE NAFASI YA DIRECTOR, INASEMEKANA WABONGO WENGI WAMEKAMATA HIZO. ZILIZOBAK RUKSA KUOMBA
 
Nashukuru sana lakini nimejaribu kutuma kupitia hizo email address zime fail. Mimi naiishi mikoani na deadline ni 31st May 2017.
Tuma tena kwa zote, kuna moja itakubali. Unaweza pia kuwapigia simu wakupe mwongozo. Namba umewekewa
 
Tanzania hatutakiwi kuomba angalieni vizur wanadai tushakuwa represented hii nchi figisu haziishi sasa lini mtu kaenda au ndo hivyo watu wanazaliwa na nafasi mikononi

Mkuu, omba nafasi nyingine. Za Directors achana nazo
 
Sama hani application form zina patikana wapi

Fuata hiyo link utakuta form..tatizo ni namna ya kutuma na hao foreign affairs walivyo wajinga wanashindwa kutoa mwongozo vizuri ili wapate competent candidates watakaoenda kushindana na nchi nyingine ..makosa yaleyale ya EAC tunarudia huku SADC..matokeo yake hizo post watachukua nchi nyingine kwa kukosa watu sahihi wa kwenda kushindana...yaani hatuna hata strategies!!..hizo namba za huyo contact person hazipatikani sa ukituma email ndio atajibu huyo??.
 
Nime sikia hizi kazi zinataka exprience na zime nivunja nguvu kweli kuomba ambayo ni miaka mitano kupanda juu yani sijui ikoje
 
Kweli ni senior positions kama huna hiyo experience basi jopange tu kwa kuendelea kuomba kwingine..usichoke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom