Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Tupige stori zingine, babu atume maswali ya aptitude test hapa
Nadhani litakua na faida kila mtu awe familiar na hayo maswali
Mkeka ukifika umefika tu
 
Kwa taarifa iliyonifikia hivi punde, kama uliaapply mwanzo kabisa umeliwa kichwa. Waliapdate mfumo wao ukafuta aplication zote.

Kitengo cha IT wapo wanapambana kurudisha data/taarifa zote zilizopotea.

Muda wowote mambo yatakuwa hewani.
 
Mbona mnatuchanganya......??

Basi sawa......lets wait
 
Kwa taarifa iliyonifikia hivi punde, kama uliaapply mwanzo kabisa umeliwa kichwa. Waliapdate mfumo wao ukafuta aplication zote.

Kitengo cha IT wapo wanapambana kurudisha data/taarifa zote zilizopotea.

Muda wowote mambo yatakuwa hewani.
Mwanzo ni lini na mwisho ni lini?mtaua watu
 
Kwahyo Kama zikiwa zimepotea kabisaa inakuajee ....vichwa vinakuwa vimeliwa au !????😀😀😀😀😀😀
 
Kwahyo Kama zikiwa zimepotea kabisaa inakuajee ....vichwa vinakuwa vimeliwa au !????
Kuna kitu kinaitwa data recovery nadhan watakitumia kubackup database Yao yote.
All in All ukisoma comments za humu unaweza kupata stress kama huna options out of it.
Leakage ya information za pccb Sio easy as we're expecting.
All the best applicants wote n Mungu awatangulie
 
Nimekuelewa Vizuri Sana Mkuu
 
Wastaafu tunashauri vijana watulie unyeti ni mkubwa siyo kazi za hadithi mtaani ila soon pdf itasoma Siri kuu
Mkuu
Ameweka Wazi Ukisoma Comments Za Watu Utakata Tamaa
pia Kutegemea Upate Taarifa Ya Kuvuja Siyo Rahisi
Iwapo Una Sifa Umetuma Calm Ungoje Chochote Kitakachojiri
 
Mwanzo ni lini na mwisho ni lini?mtaua watu
Mwanzo ni wakati JKT ilikuwa lazima. Badae haikuwa lazima tena. Kwa applicants walioshap wanaelewa.

Kwanza mfumo haukuruhusu kuomba zaidi ya mara moja kwa ID/email moja. Walipoupdate mfumo ikaruhusu tena applicants waombe bila kujali ulishsomba au bado kwakuwa system haikuwa na kumbukumbu ya taarifa yoyote.

Hope umenielewa
 
Huu ubabaishaji
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Similar Discussions

Back
Top Bottom