Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Mkuu hii nchi ngumu sana.

Kuna dogo alipigiwa simu kua hiyo ndo tarehe na anatakiwa aende kwenye usahili.

Na inavoonekana ana 100% za kupata nafasi maana mbanga wake alioupiganisha ana High profile.

Sisi wengine tusubiri pdf ya selection kwenye usahili.

Next time uwe unatuacha tupumue kidogo na ukagongea mstari asilimia 100 kabisa 😂😂😂
 
Be positive. Just apply mengine iachie process iamue. Kwa mawazo Kama haya ni kwamba umeshindwa kabla ya kujaribu. Na si jambo jema. Kila mtu ana fungu lake mbele ya Mwenyezi Mungu.
Kuna kauli wanajeshi wanasemaga ni Bora ufe na adui kuliko kuwa mateka, jamaa amekubali kushindwa hata kabla process haijaamua, kijana unakataje tamaa bado unapumua..???
 
Kusubiria kitu ni kazi jaman mh...
kabisa kabisa ,
lonja za uongo ongo PDF NDO ITAONGEA
MAANA MTU ANASEMA KWA KUFUMBA COZ HANA UHAKIKA NA LONJA YKE

TUSALIMUANE TU HUMU LONJA YKO BAKI NAYO ,UJIDANGANYE MWENYEWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom