Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Siku 3 zilizopita huyu mhuni aliandika kwenye uzi wa magereza amepenyezewa kwamba hizo nafasi za Pccb zimeongezwa...leo anampa hongera huyo jamaa eti amechaguliwa kwenda interview Pccb...sasa tujue lipi kama sio kutapeli watu...anajikuta yeye ana information za taasisi...who are you brother? Acha uhuni na kuchafua image ya taasisi unakosea sana
Mwambie atakamatwa huyo kiulaini aache uongo na kuchafua taasisi shauri yake pccb ka walivotangaza wata shortlist na kila kitu kitakuwa mubashara
 
Mwambie atakamatwa huyo kiulaini aache uongo na kuchafua taasisi shauri yake pccb ka walivotangaza wata shortlist na kila kitu kitakuwa mubashara
Short en clear......
Ila yte kwa yte iyo tar 3 sio mbali ngoja tuone huo usahili wa kimya kimya😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀wa mtu mmoja.kat ya nafas 350
 
Short en clear......
Ila yte kwa yte iyo tar 3 sio mbali ngoja tuone huo usahili wa kimya kimyawa mtu mmoja.kat ya nafas 350
eti usaili wa mtu mmoja wakati Sasa ndio wanaandaa shortlist haiwezekani nafasi 350 hafu apigiwe mmoja wakati watatoa pdf moja mubashara kabisa, na hizo taarifa za nafasi 700 katoa wapi jamani watu hujitaftia shida za bure au ndio kutaka kupiga watu na connection, mwishowe aje mtu kwake kujifanya anataka connection huyo adakwe ka panzi
 
Kabla ya kuongea jambo ni vyema kulitafakari kwanza maana humu kuna watu mbalimbali na hatujuani unaweza ukaongea jambo ambalo hauna uhakika nalo likakuletea shida hivyo basi kama hauna uhakika na taarifa unayoitoa ni bora ukae kimya ni ushauri tu
 
Kwa hiyo tunakubaliana shortlist ni mpaka mwezi wa kwanza katikati si ndio wana pccb watarajiwa?
😀😀😀😀😀😀😀C tumeambiwa usahili ni tar 3 au hujaelewa,kapigiwa simu mtu mmoja ndo anaenda Dom kupiga usahili.
Sasa PDF ya Nini tena aseee ,ukorofi huo😀😀😀😀😀(jokes)
Sema tusubiri tu mm Nadhan PDF itakuwa ndan ya mwez huu na interview itakuwa ndan ya mwez huu then kozi January
Nasema hivi kwa sababu activities report ya pccb inatolewa kila tar 31march
So nadhan ktk iyo report wanaweza kujumuisha na hii kazi ya kuajiri hawa rasilimali watu......ni maon yng tu lakini.
 
Nilichokiona humu ni watu kujikuta they know each and everything, lakini ukweli they know nothing.
Wengine wanatisha wenzao kuwa "unanijua mimi nani?" Who are you? You're just a lay man. Nonsense!
Wengine wanaleta taharuki isiyokua na mashiko yeyote, yenye lengo la kutengeneza mazingira ya utapeli na rushwa. Stop it!
Guys, stop assuming. Let's keep on waiting for the shortlist and not otherwise.
 
Hongera sana mkuu kwa kuitwa kwenye usahili wa PCCB,Kikubwa punguza mteru Katika ujibuji wa maswali.

All in all nakutakia all the best Katika interview yako hiyo itakayofanyika Ijumaa hii Dec 3.

Wengine tusubiri pdf 🥱🥱.
Non sense
 
mkeka mpk PM akimaliza ziara ndo aje atoe tamko. After 9Dec, hv utaona tabasamu nyusoni

# its just mawazo tu wananchi msinipe jina
 
Wajukuu zangu humu hatujuani ila nawaasa kuwa tulieni!! tulieni!! mambo mazuri yaja wajukuu now Excell yafanya mchujo mpaka kiwango stahiki then shortlisted candidates watakuwa listed otherwise msigombane coz mna kimwemwe Cha kazi na hakuna mtu mwenye info at all but believe me tulieni mtaharibu Hali ya hewa ikawa tabu........
Relax all
 
Hongera sana mkuu kwa kuitwa kwenye usahili wa PCCB,Kikubwa punguza mteru Katika ujibuji wa maswali.

All in all nakutakia all the best Katika interview yako hiyo itakayofanyika Ijumaa hii Dec 3.

Wengine tusubiri pdf 🥱🥱.
Hahahahaha oyaaa umetisha sana mzee sema dua,,, japokuwa sio ijumaa na haihisiani na PCCB mzee.
 
Wajukuu zangu humu hatujuani ila nawaasa kuwa tulieni!! tulieni!! mambo mazuri yaja wajukuu now Excell yafanya mchujo mpaka kiwango stahiki then shortlisted candidates watakuwa listed otherwise msigombane coz mna kimwemwe Cha kazi na hakuna mtu mwenye info at all but believe me tulieni mtaharibu Hali ya hewa ikawa tabu........
Relax all
Umetuita wajukuu,nipe ruksa nikuite babu.
Babu yangu watu hawajui maongezi ya humu yanaweza kuwa na impact kubwa uko nje,tunabishana sana.
Mtatuponza wengine ambayo tumetulia

Bora tujikite kwenye aptitude test watu watupe experience yao,pia na oral interview hayo ndio ya msingi maana ndio yanakuja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom