Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,077
- 3,607
Ombeni watoto wetu muingie katika mfumo
Duh, hadi cheti Cha darasa la Saba, hapo ndo shughuliSiyo kwa kipindi hiki ambapo ushindani ni mkubwa sana,kwanza ile PORTAL yao tu usipoambatisha kitu kimoja tu maombi hayaendi,mfumo unakukataa palepale..
Ila ukiwa full inakwambia SUCCESSFULLY kama AJIRA PORTAL TU..
Ndiyo washaamua Sasa hiyo ndiyo I'd ya uzalendoUnachekesha Kuwa na cheti cha jkt ndo uzalendo..??
Umepotea
Kwhy mkuu Kwasie ambao hatukupangiwa vituo vya jkt,kazi za utumishi wa umma tutaishia kuziskia tu?Cheti cha JKT (Mujibu/Kujitolea) ni lulu kwenye fursa nyingi za Utumishi wa Umma maana Tz bado hatuna database kamili ya kusaidia kuspot watu hivyo anayepita JKT hata vetting yake huwa nyepesi wakiamini ulipita katika tanuli sahihi la mchujo na umeiva.
Shukran mkuuOmba huku kwenye barua ukijieleza kwa 7bu za kipilato......
Wakati mwingine ni bora kuamini katika utofauti....
Exactly sahau kuhusu hiloKwhy mkuu Kwasie ambao hatukupangiwa vituo vya jkt,kazi za utumishi wa umma tutaishia kuziskia tu?
Zaidi ya 70% wapo tayariHiz nafasi watu wapo kazini, tunazugwa tuu.
Hii tunapigwa na kitu kizito
Hapana mtapata ila huu upande wa law enforcement kutakuwa na kaugumu fulani japo pia unaweza kuotea.Kwhy mkuu Kwasie ambao hatukupangiwa vituo vya jkt,kazi za utumishi wa umma tutaishia kuziskia tu?
Kuna madogo wapo muda tu ofisi za PCCB baadhi wanajitolea kwahiyo labda wanaweza kupewa upendeleo.Zaidi ya 70% wapo tayari
Hapana Mkuu! Kama una sifa hizo na una uhitaji wa nafazi hizo tafadhari tuma maombi yako.Hizi nafasi wanaandika tu kufanya watu wajue kama Government inatoa ajira ila ukweli ni kwamba hata uwe na sifa zote hizo utapigwa nachini
Hiyo kweli yaan mpk cheti cha darasa la saba, wengine shule tulizosoma hazikuwa zenye kutoa vyeti vya darasa la saba, au wengine pia hatukupitia form 6, au national service program, ila sifa nyengine zote tunazo tumejaribu kufosi tu hadi system ikatukubaki maombi yakawa sent. System walitakiwa wairekebishe. Mambo mengine yawe optional hususan ukizingatia mifumo ya kielimu ya nchi yetu, sio wote watakuwa na vyeti vya darasa la saba au form 6.Siyo kwa kipindi hiki ambapo ushindani ni mkubwa sana,kwanza ile PORTAL yao tu usipoambatisha kitu kimoja tu maombi hayaendi,mfumo unakukataa palepale..
Ila ukiwa full inakwambia SUCCESSFULLY kama AJIRA PORTAL TU..
Apply tu unaweza ukapenya, si unajua hawa watu nao umakini mdogo sana.mi kila sifa nimekidhi kasoro ya cheti cha jkt na sababu ni kipindi namaliza form 6 (mwaka 2015) walitoa majina baadhi na baadhi yetu hatukupangiwa vituo vya jkt mpaka tunajiunga na vyuo na kuhitimu.
Hii sijuh imekaaje? Imeniweka njia panda!!
Oooh mwakata weyaNdiyo Maana Nikasema Una Vigezo Tuma Achana Na Masuala Ya Connection Utapigwa Faster. Halafu Ndolezi Wewe Ni Wakumwitu
Kwamba takukuru umakini mdogo sioApply tu unaweza ukapenya, si unajua hawa watu nao umakini mdogo sana.
Hivi pccb huwa kuna kujitolea kumbeKuna madogo wapo muda tu ofisi za PCCB baadhi wanajitolea kwahiyo labda wanaweza kupewa upendeleo.
Hizi nafasi za PCCB zimetoa upenyo hata wale walioko kwenye mfumo tayari kuomba yaani muajiri wako anachoronga barua tu unatoka Halmashauri ya Wilaya ya Sitimbi kwenda PCCB na sababu wamesema uzoefu kazini nao ni kigezo basi freshers hali ngumu kama connection ni hafifu..