Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

poaah mkuu kwahiyo cha form four na leseni akiambatanisha havitamsaidia chochote??

au kwenye cv akiandika kua bado ndo yupo diploma mwaka wa mwisho... maana yupo nursing diploma ndo mwaka wa mwisho huu
Issue ni kwamba portal itamkataa kwasababu kuna baadhi ya certificate hana na kwenye portal ili uombe ni lazima uwe na izo certificate...
So atashindwa kusubmit maombi yake.
 
"Form four certificate index number"

Wakuu ni namba ya mtihani uliyoifanyia au namba ya cheti chako ulichonacho?
 
Issue ni kwamba portal itamkataa kwasababu kuna baadhi ya certificate hana na kwenye portal ili uombe ni lazima uwe na izo certificate...
So atashindwa kusubmit maombi yake.
Mkuu mimi nina tangazo la Kiswahili naomba kufahamishwa kuhusu hicho kipengele hapo cha sita chenye rangi nyekundu kuhusu ushuhuda. Ni cha muhimu sana na mbona kwenye tangazo lao la Kingereza linalo patikana kwenye website yao hicho kipengele sijakiona wakuu?
View attachment 1990461
View attachment 1990462
 
Issue ni kwamba portal itamkataa kwasababu kuna baadhi ya certificate hana na kwenye portal ili uombe ni lazima uwe na izo certificate...
So atashindwa kusubmit maombi yake.
Hicho kipengele kwenye nyekundu hapo. Mimi nina tangazo la Kiswahili naomba kufahamishwa kuhusu hicho kipengele hapo cha sita chenye rangi nyekundu kuhusu ushuhuda. Ni cha muhimu sana na mbona kwenye tangazo lao la Kingereza linalo patikana kwenye website yao hicho kipengele sijakiona wakuu.
Screenshot_20211029-090242.jpg
 
I'll viwe certified unafanyaje
Nenda mahakamani na hivo vyeti wakugongee muhuri Kuna unafuu hata ukiomba 5000 anakugongea ukienda kwa mawakili wa kujitegemea jiandae kwa kuanzia elfu arobaini hivi
 
Kuna ofisi nimewapigia sim advocate morogoro wananambia Cheti kimoja Ku certify ni 12,000 na Nina vyeti almost 8 vya Ku certify... Msaada Kwa anaemjua wakili wa bei nafuu morogoro mjini
 
Kuna ofisi nimewapigia sim advocate morogoro wananambia Cheti kimoja Ku certify ni 12,000 na Nina vyeti almost 8 vya Ku certify... Msaada Kwa anaemjua wakili wa bei nafuu morogoro mjini

Ungejaribu kwenda mahakama ya serikali physically (yan nenda mwenyewe),,usipige simu...ukifika muombe msaada akusaidie atakufanyia cheap tuu
 
Nenda mahakamani na hivo vyeti wakugongee muhuri Kuna unafuu hata ukiomba 5000 anakugongea ukienda kwa mawakili wa kujitegemea jiandae kwa kuanzia elfu arobaini hivi
Mahakamani ni bure ila wanalazimishaga tu wapewe hela,usipo wapa watakuzungusha mpaka ulie 5k inawatosha...angalizo usije ukawapa hela mkononi maana hio tayari ni rushwa ndio nchi yetu hio ilivyo

Sent from my SM-A310N0 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ofisi nimewapigia sim advocate morogoro wananambia Cheti kimoja Ku certify ni 12,000 na Nina vyeti almost 8 vya Ku certify... Msaada Kwa anaemjua wakili wa bei nafuu morogoro mjini
Nenda mahakamani pale nyuma ya maktaba...mm nililipa elfu 10 for more than 12 copies
 
Hicho kipengele kwenye nyekundu hapo. Mimi nina tangazo la Kiswahili naomba kufahamishwa kuhusu hicho kipengele hapo cha sita chenye rangi nyekundu kuhusu ushuhuda. Ni cha muhimu sana na mbona kwenye tangazo lao la Kingereza linalo patikana kwenye website yao hicho kipengele sijakiona wakuu. View attachment 1990463
Hapo wanamaanisha shuhuda/reference letters hazipokelewi au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom