Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Hivi zile ajira za takukuru mtu wa accounting kama umeitwa inakuaje ?? Na kozi ya accounting haikuwepo pale
 
Hii sasa changamoto, mimi nilijua huwa wanaacha baadhi ya watu kulingana Na uwezo wa kuwaaccomodate huko

Ungeandika barua either y an kuomba kuingia ukiwa umemaliza chuo alaf then unaitiliziamo hu humo kuna ndugu yangu alifanya ivo alivyomaliza chuo 2018 leo ananyota mbili
 
Haya wale wa mwaka jana walipita usahili tafadhali mtu info kidogo huko kwenye oral kunakuwaje kuwaje maswali yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom