Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,403
Kwa mahakama TSH 260,000/= kabla ya makatoHvi salary scale kwa msaidizi wa ofisi ina range kwa kiasi gani?
Kwa mahakama TSH 260,000/= kabla ya makatoHvi salary scale kwa msaidizi wa ofisi ina range kwa kiasi gani?
Nenda kale 260,000/= take home hapo baada ya makato nadhani Itakuwa 200k
Hawana posho? Overtime, hela ya kikao n.k.Nenda kale 260,000/= take home hapo baada ya makato nadhani Itakuwa 200k
Hamna kitu Kama hicho mahakama only your salary... Labda kwa madereva wanaowaendedha majaji Wana Safari nyingi
Duh.. Ni mwendo kuishi kama mashetani tuHamna kitu Kama hicho mahakama only your salary... Labda kwa madereva wanaowaendedha majaji Wana Safari nyingi
Kazi gani ni 850k?Now Ni laki 850k mkuu
Si wanasemaga mahakimu wanapewa rent, transport na attire/mavazi allowance?Hamna kitu Kama hicho mahakama only your salary... Labda kwa madereva wanaowaendedha majaji Wana Safari nyingi
Hii Ni kwa wakubwa Tena majaji na mahakimu wanaishi Kama malaika Ila sio Hawa wadogo sijui afisa ugav, TO na hao wa chini chini maisha Ni magumu mnoSi wanasemaga mahakimu wanapewa rent, transport na attire/mavazi allowance?
Kwani hamjapandishiwa vyeo bado? Niliskia juzi CJ anawaombea kwa Jiwe awaongezee mshaharaHii Ni kwa wakubwa Tena majaji na mahakimu wanaishi Kama malaika Ila sio Hawa wadogo sijui afisa ugav, TO na hao wa chini chini maisha Ni magumu mno
Taasisi zote za serikali wanakula mshahara wa mwaka2015, yani Kama sio mwizi na mla rushwa huwezi hata kumhudumia mkeo matumizi yake basicKwani hamjapandishiwa vyeo bado? Niliskia juzi CJ anawaombea kwa Jiwe awaongezee mshahara
Nilijua mmepandishiwa mishahara nyie watu wa mahakama....na iyo 850k ni kazi ganiTaasisi zote za serikali wanakula mshahara wa mwaka2015, yani Kama sio mwizi na mla rushwa huwezi hata kumhudumia mkeo matumizi yake basic
Typing error ulikuwa na maana ya 750kNilijua mmepandishiwa mishahara nyie watu wa mahakama....na iyo 850k ni kazi gani
Referee andika hivi maombi ya barua yanaandikwa kwa lugha ipi?ASEEE NIMEKWAMA HAPA KWENYE KUANDIKA CV , KWENYE KIPENGELE CHA REFEREES WAKUU MAANA SIE WENGINE HATA MASHULENI HUKO TULIKUWAGA MADOMO ZEGE HATA HATUONGEI NA WALIMU , JAPO TULIWAHESHIMU ASEEEEEE NA VIBOKO JUU KATOTO UNASEMA "ASANTE MWALIMU"
INGAWAJE KWENYE MATOKEO TULIFAULU VIZURI SANA MPAKA KUFATA VYETI WAKATUPONGEZA
ISSUE NI HII HAPA WAKUU NAHITAJI MSAADA JE HUWA WANA CONSIDER MUCH KWENYE REFEREES HASA KAMA UNAOMBA KAZI YA OFFICE ASSISTANT?
MSAADA WAKUU MIMI NATAKA KUACHA KUANDIKA REFEREES KWENYE CV,...............
Hawachukui hela wala nini tena ndani ya Dk 20 ushamaliza kila kitu achana na dhana za vijiweni ebu nenda upeleke kama una sifa stahiki.Hizi taratibu zingine za kijinga Sana, unatangaza kazi kwa watanzania then unasema tupitishe maombi kwa katibu tawala huko general huwezi kumkuta DAS mwenyew akifanya hii kazi lazma utakuta Kuna wasaidizi na muhuri wa "for" watataka Chao... " Lengo Ni Nini kwani"? Kama ni uhalali wa vyeti si mlink na NECTA au uraia si mlink na RITA acheni kusumbua watu ... Why wasiwatumie direct
Labda sio kila ofisi zinafanana mkuu, binafsi sijatoa hela yoyote. Atujuze ni wilaya ipi kuna shida hiyo labdaHawachukui hela wala nini tena ndani ya Dk 20 ushamaliza kila kitu achana na dhana za vijiweni ebu nenda upeleke kama una sifa stahiki.
Hiyo ni take home au?Hiyo ilikuwa scale ya mwaka wa fedha 2013/14.
Kwasasa TGOS A inaanzia 300,000 Tshs.