Nafasi za kazi 33 zilizotolewa na Tume ya Utumishi ya Mahakama

jilax

New Member
Jan 30, 2019
1
0
IMG-20190204-WA0000.jpg

Kwa maelezo zaidi, kujua sifa za watu wanaohitajika na aina za kazi zitakazofanywa na kila nafasi fungua 'Attachment' iliyoambatanishwa
 
Attachments

  • AJIRA_33_(TUME_YA_UTUMISHI_WA_MAHAKAMA).pdf
    237.4 KB · Views: 183
Hawa jamaa wakiendesha usaili wenyewe wako vzr, mwaka 2015 walitoa nafasi nikaitwa sema nikapuuzi kwa kuwa nilikuwa na kazi flani

jamaa zangu 16 walipata nafasi afisa utumishi/tawala hadi leo najilaumu. kwa wale wenye sifa fanyeni kuomba jamaa wakikuita 50% ni uhakika sio yale ya nafasi moja watu 4000
 
Mkuu, kwenye tangazo lao wanasema maombi yote yapitishwe kwa katibu tawala wa wilaya anayoishi mwombaji. Tunaipitishaje kwa katibu tawala, yaani process ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwenye tangazo lao wanasema maombi yote yapitishwe kwa katibu tawala wa wilaya anayoishi mwombaji. Tunaipitishaje kwa katibu tawala, yaani process ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiandika barua ya maombi ya kati itapitia kwa katibu itakuwa na anwani ya katibu utapeleka kwa katibu ataisaini na kugonga muhuri sasa apo safari ya kwenda kutuma posta au utapeleka direct ndo itaanzaa b aada ya kk kwa katibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Background of the Judiciary

The Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 vests the authority and responsibility to administer justice in the Judiciary of Tanzania. The Judiciary has its foundation on Article 107A (1) and 107B of the Constitution and states clearly about the Independence of the Judiciary in the United Republic of Tanzania. Now the strategic plan for Judicial Independence is focused in both form and content.

mahakama.png

mahakama-ajira.png
 
Mbona maelezo hayajajitosheleza,Kama vigezo vya kutuma vinakuwaje
 
Back
Top Bottom