Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

Aisee fire nimefuatilia duuh kumbe usahili mikoani ushaisha na majina yashaenda dodoma na course wanaenda January....
Jamaa twyn ivi ww si unasubiri msululu wa kutoka makao makuu magereza sasa inakuaje tena fire umetuma maomb mkoani wakat form 4 ndio walielekezwa watyme mkoani ...
 
Hizi ajira za majeshi mpaka Sasa wapo kimya , au wanataka kukanusha kuwa hizo ajira sio sahii.
 
Sio poaaa bora watoe tujue moja tumekosa basi tuendelee na harakati zetu mtaani
Kweli aisee,ukimya umetawala sana,Ni Bora hata wasingetoa tangazo lao wakasubili mpaka muda muafaka ndo wakatoa Cha ajabu tagazo walilitoa mapema sijui ndo walikuwa Wana maanisha nini
 
Kweli aisee,ukimya umetawala sana,Ni Bora hata wasingetoa tangazo lao wakasubili mpaka muda muafaka ndo wakatoa Cha ajabu tagazo walilitoa mapema sijui ndo walikuwa Wana maanisha nini

Au tuwakeree kwenye email zaoo
 
Ty
 

Attachments

  • Screenshot_20230204-120328.png
    Screenshot_20230204-120328.png
    304.5 KB · Views: 8
AJABU WENYE LUKU WANA MAVYETI BOMBA HATAREE MPAKA SHETAN ANASHANGAA

SEMA SHETANI ASHINDWEEE KABISA
UNAHISI KWANN VIJANA AWATAKI KUZAA TENA WATOTO S8KUHIZI...SIO UWEZO SHIDA...KULUUU MWAAA...MKE ANAPEWA VYAKE AJITUNZAJE..
 
Back
Top Bottom