Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,246
- 1,727
Sasa mkuu ligi nyingine huwa hazina maana....matangazo siku zote ni kwa ajili ya wahusika na tangazo linatolewa katika lugha ambayo muhusika ataielewa....matangazo hayatolewi kwa lugha ambayo sijui ili flani aelewe ili akamwambie flani....ndo mana ukienda hata kule ajira portal/utumishi utakuta matangazo mengine yametolewa kwa lugha ya kiingereza...mengine kwa kiswahili...na mengine ni kwa lugha zote mbili...wanafanya hivyo kutokana na muhusika wanayemlenga...yote iyo ni ili taarifa imfikie muhusika...lakini lengo si sjui taarifa imfikie babu akamwambie sjui shangazi ili wamwambie mtoto waoKama unahusudu kingereza, na umejibu kiswahili, na bado hujanielewa nilivyonadika, sasa kuna umuhimu gani wa kutumia kingereza na kukihusudu wakati lugha Mama yako huilewi?
Mkuu, ni kweli hujaelewa nilichoandika? Au hujaelewa lengo la komenti yangu?
Nikusaidie basi.....
Lengo la komenti yangu ni kwa wale wasiojua kingereza na wanao ndugu, au watoto wao wenye kuhitaji ajira na wanasifa zinazohitajika.
Kwa kingereza, ina maana vijana wale ambao hawajafanikiwa kusoma tangazo hili, watakuwa wamekosa kujaribu bahati zao.
Sasa kushindwa kunielewa kwa kiswahili, hicho kingereza ndo utaelewa?