Nafasi za kazi 10 kwa System Administrators wenye Social Media Skills and Marketing

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,394
2,000
Nafasi za 10 za System Administrators wenye uzoefu na mwenye Social Media Skills.
mwisho wa kuapply ni January 2nd 2017.
Kitendea kazi ni Computer na office haitoi computer kwa wafanyakazi.
Wenye ujuzi au kipaji cha Marketing watapewa nafasi kubwa.
Maombi yatumwe kwenda info@wajasiriamali.com
 
thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,554
2,000
fuata e mail waulize
Huwezi weka tangazo la kazi likiwa namna hii aiseeh, kama mtu anataka kutuma anaindikaje sasa. hawa ni makanjanja tu na huyu mleta post ni mmoja ya wahusika hapa yupo kupromote hiyo web yake.
Kuna website nimeiona inatangaza kujifunza ujasiamali online imenisaidia sana hata sikujua ningestafu vipi but sijui wenzangu mnaionaje?

website yenyewe nadhani itakuwa msaad sana kwa serikali ya viwanda Wajasiriamali.com

Wajasiriamali.com

Wajasiriamali.com: Kujifunza Ujasiriamali Online na Semina
 
Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,394
2,000
Huwezi weka tangazo la kazi likiwa namna hii aiseeh, kama mtu anataka kutuma anaindikaje sasa. hawa ni makanjanja tu na huyu mleta post ni mmoja ya wahusika hapa yupo kupromote hiyo web yake.

Wajasiriamali.com: Kujifunza Ujasiriamali Online na Semina

Ukilipia unapata wasaha wa kuchati nao. nikawambia watafute wataalam ndio nikawatafutia kiivyo
Fuatilia mimi nimemejifunza kufuga sungura! Haya mambo ya vijana mimi naweza wapi?
 
Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,714
2,000
Nafasi za 10 za System Administrators wenye uzoefu na mwenye Social Media Skills.
mwisho wa kuapply ni January 2nd 2017.
Kitendea kazi ni Computer na office haitoi computer kwa wafanyakazi.
Wenye ujuzi au kipaji cha Marketing watapewa nafasi kubwa.
Maombi yatumwe kwenda info@wajasiriamali.com
Unafahamu maana ya System Administrators?
 
Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,394
2,000
Unafahamu maana ya System Administrators?

Mimi mwenye hata darasa la computer sijafika ila najua maana yake! Ukiwa na system lazima uwe na mtu wa kuifanyia mapekeche yote kwenye sever na Administration!
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
25,072
2,000
Mimi mwenye hata darasa la computer sijafika ila najua maana yake! Ukiwa na system lazima uwe na mtu wa kuifanyia mapekeche yote kwenye sever na Administration!
Kama kweli ni mzee kama unavyosema, wewe ni mzee kijana.
Haya majibu yapo kikomedi yaani nacheka hapa hadi basi
 
thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,554
2,000
Ukilipia unapata wasaha wa kuchati nao. nikawambia watafute wataalam ndio nikawatafutia kiivyo
Fuatilia mimi nimemejifunza kufuga sungura! Haya mambo ya vijana mimi naweza wapi?
We mshikaji unazingua na haupo serious eti system administrator halafu kazi yake marketing halafu ukawaambia watafute watalaamu halafu bado awe na ujuzi social media, acha ukanjanja hata kama unatangaza website yako sio kwa huu uongo unaoleta wewe hapa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom