Nafasi za kazi:1. Project Coordinator 2.Monitoring and Evaluation Officer

bfexjan

Member
Mar 11, 2012
64
14
Asasi moja isiyo ya kiserikali NGO inatangaza nafasi zifuatazo kwa watakaopenda.

1. Project Cordinator

2. Monitoring and Evaluation Officer

Eneo la kazi ni kati ya Tabora, Kahama na Singida.

Elimu kuanzia bachelor.

Any one interested send your cv to humble2080@yahoo.com as soon as possible.
 
Asasi moja isiyo ya kiserikali NGO inatangaza nafasi zifuatazo kwa watakaopenda.

1. Project Cordinator

2. Monitoring and Evaluation Officer

Eneo la kazi ni kati ya Tabora, Kahama na Singida.

Elimu kuanzia bachelor.

Any one interested send your cv to humble2080@yahoo.com as soon as possible.

Sasa wewe ndugu! Inawezekanaje unapost Tangazo la kazi ambalo halina Jina la kampuni, kazi inayoombwa wala qualifications na duties atakazofanya mwombaji? Hii sio sawa!
 
Hapo anataka apate cha juu kila application zinapitia kwake na yeye anakupiga cha juu....habari ndio hiyo!!
 
Nyie ndo wazee wa kukopi na kupesti! S ungetupia msaada wa kuandika cv na barua ya maombi.
 
hawa ndo wale anakudanganya upo kwenye short list 2ma kiac kadhaa 2kuite,ukiingia line inakula kwako
 
Kama ameamua tufahamu wote hilo tangazo la kazi basi ni vyema angeambatanisha details zote!
 
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
:A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::bowl::bowl::bowl::bowl::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::bowl::bowl::bowl:
 
Funguka basi, NGO hiyo ya wachawi au na unamonita na ku evaluate mnyo au ukubwa wa makalio ?
 
Back
Top Bottom