D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,160
- 3,259
hao labda Form six Mujibu wa sheria sio wa kujitoleaUkishagraduate tu(siku ukiapa) ndio unapewa gamba lako kwa I.O(intelligence officer) a.k.a afisa usalama wa kijeshi lakini
hao labda Form six Mujibu wa sheria sio wa kujitoleaUkishagraduate tu(siku ukiapa) ndio unapewa gamba lako kwa I.O(intelligence officer) a.k.a afisa usalama wa kijeshi lakini
POa co kesi acha nikae kimya kama zitatoka unazozitegemea wew ruksa kunisuta
kifurugobe, uwe unaacha uongo kwenye habari "sensitive" kama hii. Siyo vizuri ndugu.zishatoka mbona
Ahaaaah, Sawa.serikali ndio inaamua inaweza kuwaongezea au kuwakatalia sio wewe binafsi kuomba Mfano Mzuri Op kikwete wapo mwaka wa nne
kifurugobe, uwe unaacha uongo kwenye habari "sensitive" kama hii. Siyo vizuri ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana nkamwambia kuna vitu anavijua ila ni nadharia zaidi ukweli halisi hauko hivyohao labda Form six Mujibu wa sheria sio wa kujitolea
Fnya mengine ukixubr hyo utachelewa brzakweny websit yao wata tangaza me pia nafuatilia sana
Wanakagua mkundu km umefilwa xahauWakija kufanya usahili haswa hua wanaangalia vigezoo gan?