Nafasi za JKT zinatoka lini?

Kijana hongera kwa dhamira yako.

Kwa sasa subiri nafasi za jkt zitangazwe kwa ajiri ya mafunzo ya awali ambap utafanya usahili ukipita utapata mafunzo ya awali.

•utalima sana

•kwata sana ukishindwa utakuwa KO

•Mbio kwa sana

•kunyakua kama kote

Baada ya miezi sita utamaliza mafunzo ya awali ambapo utaanza kusubiria ajira(vyombo mbalimbali vya dola huja kuchukua watu hapo.ki kwak

•Ndani ya miaka miwili zikija nafasi za jeshi mtafanya usahili tena upya kisha utaenda tena kozi ya ajira hii kozi ni miezi mitatu(Ni ngumu kidogo vumilia maana ina mwisho)

•baada ya hapo utaajiriwa rasmi kwa sababu utakuwa tayari mzoefu utapiganisha uende TMA ukapate uafisa hapo ndipo utakapoanza kula maisha.

Kama una swali uliza
Mdanganye mwenzako eti miaka miwili uliza waliomo kule kuna wanamiaka mingapi na hakuna hata dalili ya hizo ajira tena wengine walishaahidiwa na Mr. Pr.sd.nt....

Ndugu sikukatishi tamaaa ila ingia jkt kuanzia 2025 kama unaakili utanielewa
 
ok sikuhukumu sababu sijui umri wako wala wadhifa wako ila ntakuelekeza kama ifuatavyo..
Mkataba wa Jkt kujitolea ni miaka miwili but huwa wanatoa nafasi ya kuongezewa mkataba kama utakuwa tayari hii ni hiyari si lazima hivyo ukiona mtu kakaa zaidi ya miaka miwili ni hiyari yake mwenyewe(asilimia 99 kwa dhumni la kuajiriwa)
Mfano mzuri ni vijana wa Op kikwete waliofanikiwa kubaki vikosini pamoja na wale wa Op Magufuli wameongezewa miezi mitatu ina maana ni mpaka tarehe 31 mwezi mei.
Kumbuka JKT huwa haiajiri lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama huchukua watu wake huko pale wanapokua na uhitaji.
 
Metakelfin, bado Kuna Op Kikwete vikosi Vya JKT hadi mda huu au walishatoka wote ndugu ?
Kwa hiyo maservice wanaokuwa tayari kutoka vikosini kwenda uraiani baada ya kumaliza mkataba wao Wa JKT, Wanapewa vyeti vyao Vya JKT huku wenzao Wanaoridhia kubaki vikosini JKT hawapewi mpaka watakapofanyiwa usaili na vikosi Vya ulinzi na usalama au watakaporudi nyumbani ajira wasipopata ajira au inakuaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vijana wa Op Kikwete bado wapo walioondoka asilimia kubwa ni wale waliokuwa vikosini ila waliokuwa kwenye viteule na operation mbalimbali kama ujenzi wa ukuta wa mererani na ujenzi wa RC Makonda pia wale wenye fani muhimu kama madaktari walibaki.
Kuhusu swali La pili hujalichanganua vizuri ila ntakujibu kadri nilivyoelewa ...Maservice wasioridhia kubaki vikosini hawatasaini kuongeza mkataba hivyo watapewa vyeti na kurudi nyumbani.walioridhia wataendelea na kama zisipotokea ajira hapo katikati ya mkataba wao lolote linaweza kutokea either wakaongezewa mkataba au wakapewa vyeti na stahiki nyingine na kurudi nyumbani ila asilimia kubwa dakika za nyongeza huwa kunakuwa na faida.
 
Kwahiyo mwaka huu kuna uwezekano wa kuongeza kweli kama hao jamaa wapo hadi mei 31?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vijana wa Op Kikwete bado wapo walioondoka asilimia kubwa ni wale waliokuwa vikosini ila waliokuwa kwenye viteule na operation mbalimbali kama ujenzi wa ukuta wa mererani na ujenzi wa RC Makonda pia wale wenye fani muhimu kama madaktari walibaki.
Kuhusu swali La pili hujalichanganua vizuri ila ntakujibu kadri nilivyoelewa ...Maservice wasioridhia kubaki vikosini hawatasaini kuongeza mkataba hivyo watapewa vyeti na kurudi nyumbani.walioridhia wataendelea na kama zisipotokea ajira hapo katikati ya mkataba wao lolote linaweza kutokea either wakaongezewa mkataba au wakapewa vyeti na stahiki nyingine na kurudi nyumbani ila asilimia kubwa dakika za nyongeza huwa kunakuwa na faida.
Dah kaka ngoja nisiongee inaoneka una vitu unavifahamu ila kuna vingi unaongelea nadharia uhalisia hujaujua bado niamini
 
vijana wa Op Kikwete bado wapo walioondoka asilimia kubwa ni wale waliokuwa vikosini ila waliokuwa kwenye viteule na operation mbalimbali kama ujenzi wa ukuta wa mererani na ujenzi wa RC Makonda pia wale wenye fani muhimu kama madaktari walibaki.
Kuhusu swali La pili hujalichanganua vizuri ila ntakujibu kadri nilivyoelewa ...Maservice wasioridhia kubaki vikosini hawatasaini kuongeza mkataba hivyo watapewa vyeti na kurudi nyumbani.walioridhia wataendelea na kama zisipotokea ajira hapo katikati ya mkataba wao lolote linaweza kutokea either wakaongezewa mkataba au wakapewa vyeti na stahiki nyingine na kurudi nyumbani ila asilimia kubwa dakika za nyongeza huwa kunakuwa na faida.
Sawa, asante kwa maelezo mazuri. Lakini, naona ni bahati tuu za wachache wanaobahatika kuongezewa mda. Ambaye hajachaguliwa kufanya oparesheni flani flani, kama anaridhia kubaki vikosini kusubiri ajira, anaweza kuomba akakubaliwa akawa yupo huko JKT hata kwa miaka minne au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Metakelfin, bado Kuna Op Kikwete vikosi Vya JKT hadi mda huu au walishatoka wote ndugu ?
Kwa hiyo maservice wanaokuwa tayari kutoka vikosini kwenda uraiani baada ya kumaliza mkataba wao Wa JKT, Wanapewa vyeti vyao Vya JKT huku wenzao Wanaoridhia kubaki vikosini JKT hawapewi mpaka watakapofanyiwa usaili na vikosi Vya ulinzi na usalama au watakaporudi nyumbani ajira wasipopata ajira au inakuaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishagraduate tu(siku ukiapa) ndio unapewa gamba lako kwa I.O(intelligence officer) a.k.a afisa usalama wa kijeshi lakini
 
Sawa, asante kwa maelezo mazuri. Lakini, naona ni bahati tuu za wachache wanaobahatika kuongezewa mda. Ambaye hajachaguliwa kufanya oparesheni flani flani, kama anaridhia kubaki vikosini kusubiri ajira, anaweza kuomba akakubaliwa akawa yupo huko JKT hata kwa miaka minne au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
serikali ndio inaamua inaweza kuwaongezea au kuwakatalia sio wewe binafsi kuomba Mfano Mzuri Op kikwete wapo mwaka wa nne
 
Back
Top Bottom