Hazitoki
Kwann zisitokeeHazitoki
Kijana hongera kwa dhamira yako.Naombeni mnisaidie jamani,nafasi za jkt zitatoka lini haswa,
Wakija kufanya usahili haswa hua wanaangalia vigezoo gan?Kijana hongera kwa dhamira yako.
Kwa sasa subiri nafasi za jkt zitangazwe kwa ajiri ya mafunzo ya awali ambap utafanya usahili ukipita utapata mafunzo ya awali.
•utalima sana
•kwata sana ukishindwa utakuwa KO
•Mbio kwa sana
•kunyakua kama kote
Baada ya miezi sita utamaliza mafunzo ya awali ambapo utaanza kusubiria ajira(vyombo mbalimbali vya dola huja kuchukua watu hapo.ki kwak
•Ndani ya miaka miwili zikija nafasi za jeshi mtafanya usahili tena upya kisha utaenda tena kozi ya ajira hii kozi ni miezi mitatu(Ni ngumu kidogo vumilia maana ina mwisho)
•baada ya hapo utaajiriwa rasmi kwa sababu utakuwa tayari mzoefu utapiganisha uende TMA ukapate uafisa hapo ndipo utakapoanza kula maisha.
Kama una swali uliza
vyeti,Mguu uwe na uvungu,afya(usiwe na ulemavu wowote wala makovu makubwaWakija kufanya usahili haswa hua wanaangalia vigezoo gan?
Oooh okay,, tuki keep constant ayo mambo mengne otee mkawa vzr kwaiyo mweny matokeo makubwa ndo ana pewa priority ya kupata nafasi cndo ivoo boss?vyeti,Mguu uwe na uvungu,afya(usiwe na ulemavu wowote wala makovu makubwa
ndo hivyo but huwa unaangaliwa na muonekano aliyevaa kiheshima lazima atapewa priority kubwaOooh okay,, tuki keep constant ayo mambo mengne otee mkawa vzr kwaiyo mweny matokeo makubwa ndo ana pewa priority ya kupata nafasi cndo ivoo boss?
Ahaaa poa poaa mzee,, iv mwaka huu dondoo lin nafasi za jkt ztatokando hivyo but huwa unaangaliwa na muonekano aliyevaa kiheshima lazima atapewa priority kubwa
Kijana kuna baadhi ya mambo hayawekwi wazi kikubwa kaa tayariAhaaa poa poaa mzee,, iv mwaka huu dondoo lin nafasi za jkt ztatoka
Pooaa mkuuuKijana kuna baadhi ya mambo hayawekwi wazi kikubwa kaa tayari
Na interview yao kwenye usaili huwa ikoje lbd?ndo hivyo but huwa unaangaliwa na muonekano aliyevaa kiheshima lazima atapewa priority kubwa
zishatoka mbonaZikitoka niambieni asee
wew unajua nini kuhusu hili me nimeona tangazo ujue
Acha uongo basi hilo tangazo sio official mana official lazima liwekwe kwenye tovuti yaowew unajua nini kuhusu hili me nimeona tangazo ujue