Nafasi za JKT na Polisi zinatoka lini?

Chimoto

JF-Expert Member
May 30, 2017
293
122
Habari zenu wana JF naombeni msaada wenu kwa yeyote yule anaye fahamu nafac za JKT na Polisi zinatoka lini mbona mwaka huu wamechelewesha na wanaangalia vigezo vp kwa anaye fahamu basi anifahamishe.
 
Mwezi huu huapa na siku sionying sana.kama sio wikii hii nayo anza itakayo kuja so ww kuwa na subira 2
 
Back
Top Bottom