NAFASI ZA INTERNSHIP KATIKA KAMPUNI YA PADANY MICRO CREDIT LTD

ney2nyi

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
200
69
Padany Micro credit Ltd inatangaza nafasi za Intern kwa wakazi wa Dar es salaam Hasa Maeneo ya Mbezi ya kimara na Maeneo ya Kimara.

SIFA ZA MUOMBAJI

1.Awe na elimu ya Diploma ya uhasibu, utuza fedha, masoko na mauzo, na yoyote inayofanana na hiyo.

2.Awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe katika kazi.

3. Awe mchapakazi

4. Awe na uwezo wa kuelewa kwa haraka na kupokea mabadiliko kwa haraka.
Maombi yatumwe kwa email patty.nyolobi@gmail.com.
Tuma barua na Cv tu.
Mwisho wakutuma maombi ni tarehe 28/06/2019.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom