Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar kwa anayetaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar kwa anayetaka

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Visitatanzania, Jul 27, 2012.

 1. V

  Visitatanzania Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari JF

  Nafasi za field katika hotel Arusha na Zanzibar
  Kama umemaliza kozi ya Basic Certificate in Hotel Management na hujapata field, tafadhari wasiliana nami kupitia visitatanzania@gmail.com au ni PM humu, field inachukuwa miezi 3, gharama ni 200,000 inajumuisha nauli, malazi na chakula kwa muda wote wa miezi 3.

  Mhimu: Kiingereza na hakuna chochote tutakubaliana kabla ya mimi kujihakikishia walau unaweza kuwasiliana kwa kiingereza.

  Nawasilisha
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ila tahadhari kwa dada zetu kuwaomba rushwa ya ngono mkuu. Utakufa.
   
 3. V

  Visitatanzania Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usijali mkuu, jambo hilo ni adui wa haki na wala hakuna sababu hiyo kwani hapewi bure.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Mhhh...watch out
   
Loading...