Mundana
Member
- Jun 8, 2015
- 84
- 114
Kata Moja Inategemea Sasa Na Ukubwa wa Kata na Mahitaji ya Kata na hapo ni hasa Kwa makarani.Kata moja wanatakiwa wangapi
Lakini Kwa wasimamizi wa Sensa kimsingi Kata Moja inakuwa na wasimamizi wawili I mean wa maudhui na tehama Ila kama inatokea labda kwenye wilaya INA Kata nyingii kuliko idadi ya wasimamizi itabidi Kata zaidi ya moja zisimamiwe na wasimamizi wawili inaweza ikawa Kata Tatu au NNE itategemea, maanake kuna halmshauri nyingine zina Kata nyingii Sana alafu unakuta idadi ya walioomba Usimamizi ni wachache Sana kwahiyo itabidi waweze kubalance.
Kimsingi Nafasi za ukarani ni nyingii Sana kuliko wasimamizi na wengi Sana wameomba ukarani kuliko Usimamizi kwahiyo wao wenyewe wataangalia Namna gani waweze kubalance kulingana na Mahitaji ya Kata husika.