Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mie nime scan page mbili badala ya 3 maana ya tatu sio issue vile ila ya kwanza ndo kusaini na ya pili ndo kusaini so ya tatu nimeipiga cha juu kama ntakavyoliwa cha juuu wa wapangaji
 
Kuna jamaa ni mtumishi wa umma ile sehemu ya hali ya ajira kakosea akaandika amejiajiri badala ya mwajiriwa halafu kwenye ile fomu namba 1 ya sensa mkuu wake wa kituo kamsainia,je italeta shida?
 
Mzee baba weka zote tatu wale wajumbe ni makompliketa sana
 
Kuna jamaa ni mtumishi wa umma ile sehemu ya hali ya ajira kakosea akaandika amejiajiri badala ya mwajiriwa halafu kwenye ile fomu namba 1 ya sensa mkuu wake wa kituo kamsainia,je italeta shida?
Aende kuhuisha taarifa huko site
 
Ndugu zangu mimi Nimefanikiwa kupakia fomu Namba 1 iliyosainiwa lakini kwenye komenti ya mfumo wa NBS wanaandika : Maombi yanasubiri fomu Namba moja iliyosainiwa kwenye kile kipengele Cha maombi yalipofikia!

Shida itakuwa wapi hapo ili kukamilisha maombi?
Wajuzi Masada.
 
Kuna jamaa ni mtumishi wa umma ile sehemu ya hali ya ajira kakosea akaandika amejiajiri badala ya mwajiriwa halafu kwenye ile fomu namba 1 ya sensa mkuu wake wa kituo kamsainia,je italeta shida?
Jamaa ndo wewe mkuu
 
Jamani embu tusaidiane hapa ,. Kwenye maoni ya mtendaji kaniandikia * "AFIKIRIWE , ANASTAILI. Vila kwa wengine wameandikiwa * AFIKIRIWE *

Je wajuaji wa masuala ya. Kiserikali maana serikali ni sirikali otherwise.... So vipi ndo code zinazotumika kwenye assessing from kijiji.......mtaa.......kata.....tarafa.......jimbo......wilaya .......mkoa........then taifa aub?
 
Angalieni kwenye account zenu za maombi ya sensa kuna ujumbe wa Hongera
Iyo meseji ni ya kawaida mfano ukiwa unaomba kazi kwenye kampuni via email address mda mwingine utuma text ya kukushukuru au text ya kuonesha ujumbe wako umepokelewa so tusubili tuone watakaopata
 
Ndugu zangu mimi Nimefanikiwa kupakia fomu Namba 1 iliyosainiwa lakini kwenye komenti ya mfumo wa NBS wanaandika : Maombi yanasubiri fomu Namba moja iliyosainiwa kwenye kile kipengele Cha maombi yalipofikia!

Shida itakuwa wapi hapo ili kukamilisha maombi?
Wajuzi Masada.
Hata mm nina tatizo kama lako
 
Jamani embu tusaidiane hapa ,. Kwenye maoni ya mtendaji kaniandikia * "AFIKIRIWE , ANASTAILI. Vila kwa wengine wameandikiwa * AFIKIRIWE *

Je wajuaji wa masuala ya. Kiserikali maana serikali ni sirikali otherwise.... So vipi ndo code zinazotumika kwenye assessing from kijiji.......mtaa.......kata.....tarafa.......jimbo......wilaya .......mkoa........then taifa aub?
Hayo ni maneno ya kukupa matumaini tu. Ila mwenye vigezo yyte anastahili kupata hiyo kazi

Anastahili na Afikiriwe (wote mna vigezo vya kupata kazi ila inategemeana na matakwa ya mtoa kazi anamhitaji nani?
 
Back
Top Bottom