mkuu hii changamoto umeitatuaje maana mimi hadi sasa holaa nimepakia fomu lakini naambiwa maombi yanasuburi fomu namba moja akati nishaiwekaWakuu habarini za mchana, naombeni msaada,, katika maombi ya kazi ya sensa nimejaza Kila kitu lakini bado naambiwa maombi hayajakamilika form namba 1 iliyosainiwa haijawekwa . Wakati huohuo form hiyo iliyosaniwa nimeweka inaonekana kabisa.. nisaidieni tafadhari