Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Duniani kote kanuni ni moja tu, kama hauelewani wala kukubaliana na mkuu wa nchi suluhisho ni kuondoka au subiri kufurushwa.Pamoja na umuhimu wa Kambona kwa Nyerere baada ya uhuru wa Tanganyika,alilazimika kuondoka baada ya kutofautiana na Mwalimu. Vivyo hivyo katika tawala mbalimbali duniani,Jukumu la kada yeyote wakati wa uchaguzi ni kushinda uchaguzi na si vinginevyo.
Hapo Uganda Amama Mbabazi alilazimika kuondoka NRM kwa kulingana na Museveni,Zitto Kabwe alitupiwa virago baada ya kukishutumu chama chake hadharani kuwa kimekwepa kukwapua hesabu.
Chama Chochote Cha Siasa ni genge la watu wenye maslahi ya kukamata dola,ukiondoka baadhi watakaonea huruma huku wakishikilia walichonacho.
Baada ya muda watakusahau,mbadala utapatakana na maisha yataendelea.