Nafasi ya Tanzania Kombe la Dunia2014 Brazil | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya Tanzania Kombe la Dunia2014 Brazil

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ibra Mo, Jul 30, 2011.

 1. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Live S3 now.<br />
  Nafasi ya Tanzania kombe la Dunia
  Mechi ya Kwanza Tanzania atakipiga na Chad,tukipenya.Baada ya hapo ndo kunashughuli nzito tutaingia kwenye Group linaloijumuisha:1.SUDAN2.MORROCO 3. NA GAMBIA.
   
 2. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi Gambia ni zazuri kisoka kuliko Tanzania? kazi ipo na kwa kocha huyu babu tumetoka tayari
   
Loading...