Nafasi ya Tanzania kiulinzi

Watanzania bhana, kwahiyo nchi yenu ingekuwa ya mwisho mdo mngeamini????? Kibaya zaidi tungeanza kulaumu Serikali.
 
Upelelezi upo wa aina nyingi mkuu ni upi huwo tunaongoza nao?kwa sababu najuwa matukio mengi tumeshindwa kuyapatia majibu mpaka leo upelelezi unaendelea

majibu yapo ila hujapewa. kila kitu kinafahamika sema huwezi ona kwa macho yako.
 
Tanzania ni mwanzilishi wa upelelezi at grassroots level kuanzania kwa 10 cell leader na wengi in Africa and the world wameukubali mfumo huo coz unatoa taarifa haraka sana japo vijana wa kileo hapa tz wameufanya kama ni wa chama flan...haiingiki kwamba ulianzishwa under monoparty politics those days...lakini lengo lilikuwa a kijasusi zaidi...na tumekuwa katika nafac hiyo ya best in Africa kuanzia 1970s.
 
Watanzania tuache ushabiki wa kipuuzi kama tupo pazuri tujikubali
 
Huu ni utani tu...haihitaji hata kwenda shule kujua this is just a joke.. Hv mwanao anakuletea mitihani yote kapata F alafu kawa wa kwanza utajiskiaje???!!!! Hebu jiulize inshu za madawa ya kulevya tu???!!!!
 
Wat has to do with madawa ya kulevya na ulinzi wa nchi yako from external attack?
 
Back
Top Bottom