Nafasi ya Tanzania kiuchuni inazidi kuwambaya kila siku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya Tanzania kiuchuni inazidi kuwambaya kila siku.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Edwiny, Jul 4, 2011.

 1. E

  Edwiny Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Si jui ni anzie wapi lakini ukweli ni kwamba Tanzania ina zidi kudorora kiuchumi kila siku,hasa sasa hivi ambapo mgao wa umeme umezidi na wananchi wana shindwa kufanya shuguli zao za kila siku.sasa hiyo kodi wa nao kusanya itatoka wapi.wananchi wameimba upaka imekuwa kelele masikioni mwao.Raisi anasema ana taka kupambana na umasikini wakati viwanda na nyanza zingine zi nazo tumia umeme hazifanyikazi.hivi tutafika?
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Kuna wenzio wanaosema uchumi unakua tena kwa kasi sana based on the BoT's data!
   
Loading...