Nafasi ya Taifa Stars Kombe la Dunia 2022

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Twende sawa,

Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili
Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango vya fifa

Raundi ya kwanza
hii haikuwahusu wale wakali 26 bali ilizihusu zile nchi 28 za chini Tanzania ikiwemo tulianza safari kwa kuitoa Burundi kwa penati

Raundi ya pili
Baada ya zile 28 mbovu kutoana na kubaki 14 zikajumlishwa 26 kali na kupatikana jumla ya timu 40 ambazo zilipangwa kwenye makundi 10.

Makundi haya 10 yatatoa mshindi mmoja kutoka katika kila kundi
tanzania iko kundi J pamoja na Congo DR, Madagascar na Benin na tunaongoza kundi hadi muda huu tukiwa na alama nne

Round ya tatu
Washindi 10 mmoja kutoka katika kila kundi watapangwa draw na kucheza mtoano ili zipatikane timu tano zotakazo wakilisha Afrika kwenye kombe la dunia
 
Tanzania kwa sasa hatuna timu. Tulikua nayo ya akina Evo Mapunda, Ngasa, Nsajigwa,Fusso, Kaseja, etc ilkua inapiga mpira hatari na ndo iliwafanya raia wengi kuipenda taifa stars na kuleta ushindani kwenye ligi kuu.
 
So Taifa stars bado ina nafasi au haina?
Hakuna timu ya kufuzu pale! Labda kwa miaka 10 ijayo, na iwapo huyu Kocha Kim Paulsen ataendelea kuhudumu. Maana ana uwezo wa kutengeneza timu ya vijana wenye vipaji.

Ila kwa sasa tunawasindikiza tu wale watao fuzu. Uzuri zaidi ni kwamba, katika hili kundi lao sioni hata timu moja itakayofuzu! Wote ni vibonde tu.
 
Tukifanikiwa kwenda huko kwenye fainali za kombe la dunia mwaka 2025 kusiwe na uchaguzi. Wote waliopo waendelee na nafasi zao. You don't change a winning team ati!
 
watanzania wengi hatuna imani na timu yetu ya taifa.tumekata tamaa kiasi kwamba ukimwambia mtu taifa star wametoa draw anakubishia katakata.
 
sasahivi benin ndo inaongoza kundi imeshinda ugenini kwa madagasca
 
Inatakiwa mechi ya tarehe 7 keshokutwa tushinde dhidi ya wakali Madagascar
 
Twende sawa,

Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili
Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango vya fifa

Raundi ya kwanza
hii haikuwahusu wale wakali 26 bali ilizihusu zile nchi 28 za chini Tanzania ikiwemo tulianza safari kwa kuitoa Burundi kwa penati

Raundi ya pili
Baada ya zile 28 mbovu kutoana na kubaki 14 zikajumlishwa 26 kali na kupatikana jumla ya timu 40 ambazo zilipangwa kwenye makundi 10.

Makundi haya 10 yatatoa mshindi mmoja kutoka katika kila kundi
tanzania iko kundi J pamoja na Congo DR, Madagascar na Benin na tunaongoza kundi hadi muda huu tukiwa na alama moja

Round ya tatu
Washindi 10 mmoja kutoka katika kila kundi watapangwa draw na kucheza mtoano ili zipatikane timu tano zotakazo wakilisha Afrika kwenye kombe la dunia
Tatizo waafrika tunaamini ushindi unaletwa na kamati ya ufundi na si benchi la ufundi.
 
  • Thanks
Reactions: Dol
Wazaire wana wachezaji wazuri tena wa daraja la
juu.tatzo umri.

wanang'ang'ania wachezaji wakukuu wakt umri wao umeshapita
mfano ni Yannik Bolasie,
Mbokani, na Britt Assombalonga.

Huyu mbokani alikuwa foward hatari mno norwich.

Assombalonga naye alikuwa hakamatiki pale uingereza, si kama alivyoleo pale adnaspor, uturuki.

Bolasie, ambaye leo alivaa jezi namba 11 alishaikimbia everton kaenda kujificha middlesbro.

Bora kidogo Afobe wa bornemouth Japo hakupangwa.yeye ana 28.

Huyu Kocha aliyechukua mikoba ya ibenge itabidi aachane nao kwani hawana tofauti sana kiumri na Tresor Mputu,
Gael Kakuta au Cedric Bakambu

Kinachoifavor tanzania wkt mwingne ni kucheza ligi moja kwa 90% ya kikosi chake.

Leo Drc katumia foreign squad kwa asilimia mia dhidi ya tanzania mpaka sub zake zote.

Nafikiri mwl awafikirie pia kina walter bwalya (al ahly), kazadi kasengu wa wydad ambao wanacheza ligi za africa huenda wakaongeza kitu kwny mech ya wiki ijayo dhd ya benin ugenini.

Leo kwny lineup yao alikuwepo jamaa ana jezi namba 15 anaitwa marcel tisserand.
huyo ndio alimpokonya namba samatta pale fenerbhanche.
 
Back
Top Bottom