Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 334
- 657
Twende sawa,
Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili
Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango vya fifa
Raundi ya kwanza
hii haikuwahusu wale wakali 26 bali ilizihusu zile nchi 28 za chini Tanzania ikiwemo tulianza safari kwa kuitoa Burundi kwa penati
Raundi ya pili
Baada ya zile 28 mbovu kutoana na kubaki 14 zikajumlishwa 26 kali na kupatikana jumla ya timu 40 ambazo zilipangwa kwenye makundi 10.
Makundi haya 10 yatatoa mshindi mmoja kutoka katika kila kundi
tanzania iko kundi J pamoja na Congo DR, Madagascar na Benin na tunaongoza kundi hadi muda huu tukiwa na alama nne
Round ya tatu
Washindi 10 mmoja kutoka katika kila kundi watapangwa draw na kucheza mtoano ili zipatikane timu tano zotakazo wakilisha Afrika kwenye kombe la dunia