R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Bandari ni kiungo muhimu cha nchi na ukiangalia bandari yetu ni hub , ina uwezo wa bila wasiwasi kuhudumia nchi zaidi ya 9, bila wasiwasi.
Lakini ikumbukwe mpaka sasa serikali haina wa kumfunga mtu kengelele na ndo maana ata kesi za wafanyakazi walioshikiliwa zinakwama. Sababu kubwa ni kuwa toka kaondolewa dg wa kwanza mgawe ambaye ana kesi mahakamani ni miaka zaidi ya mitano bandari haina Mkurugenzi mkuu (DG), Kipande alikuwa anakaimu , na Massawe pia alikuwa anakaimu , hakuna barua au mahali popote inapoonyeshwa Masawe kateuliwa na raisi kupitia Kurugenzi ya mawasiliano IKULU kuwa mkurugenzi wa bandari.
Masawe anashindwa kuwajibishwa kwa kuwa alikuwa hana meno.
Nafasi ya DG (mkurugenzi wa bandari ) iliyotangazwa nasikia imefutwa .
Haya madudu sababu kubwa ni kutokuwepo kwa mkurugenzi mkuu, watu wanashindwa kuchukua maamuzi kwa kuwa hawana mamlaka . Pia mpaka sasa hakuna bodi wala dg
Ndo maana maagizo ya waziri mkuu
1.Kuondolewa Pipe iliyounganishwa KOJ – haitaondolewa hakuna mwenye authority
2. Polisi kuingizwa bandari –imeshindikana , hakuna DG na bodi
3. Vikao vya kutafiti kwa nini mizigo imeshuka hakuna wa kusemeea kwani ni wajibu wa Dg kumjibu waziri ndo mteule wake , hakuna DG.
4. Mita hatujasikia taarifa yoyote kama zinafanya kazi au ni ile moja aliyeoneshwa waziri.
5. Bandari ya Tanga , tulisikia Tug. Hakuna wa kumuandikia waziri mkuu kwani hiyo ni kazi ya DG-ki propokali
Ukiuliza nani anaisimamia bandari ?
Je nani anatoa maamuzi kuhusu bandari?
Nani awajibishwe kwa matumizi mabaya ya madaraka au pesa kipindi hiki?
Nasikia madai ya wafanyakzi yamekwama ni mwaka wa nne sasa, hakuna morale. Kuanzia juu mpk chini. Hakuna wa kuyatatua , na waziri katia pamba nasikia anajua.
Kila eneo watu wanakaimu; je watu wakushika hizo nafasi hawakuandaliwa kabla? Je tunajua matatizo ya kukaimu?
Ni vigumu.
Ushauri: Raisi aunde kikosi kazi cha watu kikijumuhisha.
1.Watu Mashuhuri waliowai kufanya kazi bandari na wenye uelewa wa bandari, wasiokuwa na upande wowote .MF Balozi dau
2. Wafanyabiashara wakubwa ambao wanachangia asilimia 60 ya mzigo. Tanzania , Congo, Burundi, Rwanda,Angola,Uganda,Malawi ,Zambia,Zimbabwe.
3.Majeshi Yetu wawakilishi, JWTZ,Polisi, Uhamiaji na kitengo cha propaganda
4.Wataalamu wa black market na wachumi, wataalamu wa biashara Za kimataifa
5. Mamalaka ya TPA,TICTS, na wadau wake muhimu.
6. Wamiliki wa meli kubwa au agent wao, Maersk,Safmarine, Guangzhou, n.k
7.Mshauri wa raisi wa biashara.
Mawazo huru DUNIA ya sasa sio ya karne 20. Wasiwasi wangu tusisikie tena neno Nang’atuka au najuta kuwa Raisi wa Tanzania.