Nafasi ya mke na mume (wanandoa kiutumishi-wote watumishi sheria inawatambua)

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
427
500
Habari Wanajamvi naleta Hoja hii mezani kwakuw hivi karbu mke wangu aliomba uhamisho (kujihamisha kwa gharama zake) wa ndani ya wilaya Lengo ikiwa awe karbu nami (family) zaid ofisi ikampeleka mbali zaidi na mimi sasa pamoja na hatua mbalimbali nilzofanya za kumshaur aandike barua yakusitisha uhamisho huo kwakuw upo nje ya malengo yake ofisi imekataa inamtak aend kwenye kituo kpya kwa msimo sisi tuliouweka aendelee kufanya kaz kwenye kituo chake cha zamani.

Sasa naomba taratbu za kisheria/ ushauri ili nimalze hili swala awez kuja karbu na ktuo ninachofanyia kazi.

(Ofisi inatambua kuw sisi ni mke na mume na mazngr aliyopelekwa hayan usafir wa umma kwamba anawez kwend na kurud , lazm mimi nikodi pikpk au nimpelek then nirud kzn kwang jion Tena nimfate).
 

conservative3

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
1,066
2,000
Mume anaweza kufuata mke au mke kufuata mume....haki Sawa ukiona pagumu mfuate hamia kwake.
Jamaa kukushauri utumie takrima kwa sababu. Anaemlipa mshahara ndio anajua wapi pana upungufu wa watumishi na wapi wapo wengi na wanapaswa kuhamishwa kupeleka kwenye upungufu au kuna wengine wana changamoto zaidi ya kwake hivyo wamefikiria uzito wa sababu.
Pili si lazima aamie pale ulipotaka ila karibu na pale ulipopataka
Assume angeteuliwa kuwa waziri au katibu mkuu ungemuombea uamisho kwa kuwa ww ni mumewe au au ww unaemfuata?

La mwisho nyoosha mkono as long as kila mtu ana cheki namba yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom