Nafasi ya masomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya masomo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ilemisec, Aug 15, 2009.

 1. i

  ilemisec New Member

  #1
  Aug 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NAFASI YA MASOMO—KIDATO CHA KWANZA 2010

  Tumeanza kuandikisha wanafunzi wanaotarajia kuingia kidato cha kwanza kwa mwaka 2010. Walengwa ni wahitimu wa darasa la saba.

  Interview itafanyika tarehe 10 Oktoba, 2009 saa 3.00 asubuhi katika Ukumbi wa Ilemi High School.

  Fomu za kujiandikisha zinapatikana:
  1. Kwenye mtandao wa internet: www.ilemighschool.com
  2. Ilemi High School—ofisi ya Makamu Mkuu wa Shule
  3. Jengo la Naomi Mwamasika Enterprises—eneo la Mama John, Ilomba
  4. Ukombozi Education Centre—karibu na shule ya Mkapa, Mwanjelwa

  Gharama ya Fomu ni shilingi 10 000/- tu.

  Sifa za Shule:
  1. Karo nafuu sana
  2. Mazingira tulivu yenye kumcha Mungu
  3. Somo la Computer bure, internet access bure
  4. Inafadhiliwa na Shirika la Uholanzi pia ina Shule dada ya Uholanzi
  5. Walimu waliobebea na wanaojituma
  6. Ina kituo cha Mitihani ya kidato cha II, IV, na VI.

  KARIBU ILEMI KWA MAENDELEO YAKO

  MKUU WA SHULE
  S.L.P 2433 MBEYA
  Simu: 0787 404061/ 0785 628245
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Naona utafute jina lingine gharama ya form hata nikidownload?
   
 3. Ex Spy

  Ex Spy Senior Member

  #3
  Aug 15, 2009
  Joined: Jan 15, 2007
  Messages: 139
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Mheshimiwa Mkuu wa Shule, tovuti yako "Is not reachable"!
   
Loading...