Wana jf naomba nitoe umuhimu wa nafasi ya kuzaliwa ktk tabia na mahusiano katika jamii.kwa leo nitaeleza kwa upande wa mzaliwa wa kwanza. Tabia zake: Anajiamini sana, anatoa amri/command,anataka kusikilizwa,wengi hupendelea masomo ya sayansi, ni wabishi, wana sifa ya kuongoza,wakioana wazaliwa wa kwanza ndoa zao hazidumu au huwa na migogoro ya muda mrefu. Wanafaa wafanye kazi za viwanda, kuopareti mashine. Kwa kazi za jamii labda kuwa mameneja, sio za kijamii!