Nafasi ya kusoma India kwa waliomaliza form 4

kinye

Member
Mar 14, 2009
48
95
Habari zenu wanabidii!
Leo nawaletea habari nzuri kwa wale wote waliomaliza kusoma kidato cha
nne.Waliomaliza kidato cha nne wana nafasi nzuri ya kusoma India pre-
university kwa bei nafuu kwa mtanzania.
Kusoma nnje ya nchi sio kwa matajiri hata kwa wenye uwezo wa kawaida
ili kumfanya mtoto kuwa na exposure kukabiliana na hali ya nchi na
kujenga nchi na kumjenga mtoto katika hali ya kujitegemea na
kutotegemea ajira pekee yake bali hali ya kuendeleza nchi yetu.
Kwa aliyekuwa tayari au ambae anahitaji nafasi hii tuwasiliane zaidi
kupitia;
aahmeda50@hotmail.com au kwa simu namba +917829022628.
Ally Ahmed

?
 
chumvichumvi

JF-Expert Member
May 6, 2010
1,200
1,500
atleast ungeweka hata baadhi ya majina ya chuo na price tujue tunaanzia wapi kwa sie tunatakiwa kusomesha
 
Aug 21, 2011
26
0
Habari zenu wanabidii!
Leo nawaletea habari nzuri kwa wale wote waliomaliza kusoma kidato cha
nne.Waliomaliza kidato cha nne wana nafasi nzuri ya kusoma India pre-
university kwa bei nafuu kwa mtanzania.
Kusoma nnje ya nchi sio kwa matajiri hata kwa wenye uwezo wa kawaida
ili kumfanya mtoto kuwa na exposure kukabiliana na hali ya nchi na
kujenga nchi na kumjenga mtoto katika hali ya kujitegemea na
kutotegemea ajira pekee yake bali hali ya kuendeleza nchi yetu.
Kwa aliyekuwa tayari au ambae anahitaji nafasi hii tuwasiliane zaidi
kupitia;
aahmeda50@hotmail.com au kwa simu namba +917829022628.
Ally Ahmed

?
- Habari yako hiyo njema sana kwetu sisi walala hoi Lakini umeiandika kisiasa mno Tafadhali hebu fafanua hapa hapa jukwaani siyo mpaka upigiwe simu' chuo gani/ mji gani /ada /muda NK.
 
kinye

Member
Mar 14, 2009
48
95
Vyuo ni vingi sana India ambayo vinatoa nafasi ya kusoma kwa aliemaliza form 4 La muhimu ni kwamba huku price range yake ni $2000-$3000 kwa miaka yote miwili.Kwahio siwezi kuorodhesha vyote hapa,kama unainterest niambie nitakutaftia chuo na bei yake as soon as possible
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,157
2,000
Habari zenu wanabidii!
Leo nawaletea habari nzuri kwa wale wote waliomaliza kusoma kidato cha
nne.Waliomaliza kidato cha nne wana nafasi nzuri ya kusoma India pre-
university kwa bei nafuu kwa mtanzania.
Kusoma nnje ya nchi sio kwa matajiri hata kwa wenye uwezo wa kawaida
ili kumfanya mtoto kuwa na exposure kukabiliana na hali ya nchi na
kujenga nchi na kumjenga mtoto katika hali ya kujitegemea na
kutotegemea ajira pekee yake bali hali ya kuendeleza nchi yetu.
Kwa aliyekuwa tayari au ambae anahitaji nafasi hii tuwasiliane zaidi
kupitia;
aahmeda50@hotmail.com au kwa simu namba +917829022628.
Ally Ahmed

?

mkuu weka mambo wazi: majina ya vyuo na web zao, au wewe ni dalali?
 
kinye

Member
Mar 14, 2009
48
95
mkuu weka mambo wazi: majina ya vyuo na web zao, au wewe ni dalali?
Mie nipo huku na nimuwakilishi wa vyuo tofauti huku India ndo maana nakwambia hivyo!yaani nitahusika kukupokea kukutaftia makazi na jinsi watanzania tunavyoishi huku!
 
Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,424
2,000
matapeli hawa, India hakuna jipya, vyuo vya uchochoroni ukija hapa no job
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom