nafasi ya kazi

maynard

New Member
Nov 29, 2012
2
0
WABANTU CO LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING tuma CV zako kupitia email yao ya hr@wabantu.com tuma sasa muda wa maombi ni mchache
 
WABANTU CO LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING tuma CV zako kupitia email yao ya hr@wabantu.com tuma sasa muda wa maombi ni mchache
Kwa kauzoefu kangu kadogo tu kwenye soko la ajira,ukiona tangazo lipo kirahisi kirahisi kama hivi basi hata terms za iyo kazi zitakua kama zakubabaisha babaisha tu!, ila jaribuni wadau
 
nyie si mlishafanya usahili na vijana kibao pale amana vp hawajakidhi vigezo? By the way jamaa ni kama ma agents hivi wenye kaz ni sunshine ya wachina.
 
nyie si mlishafanya usahili na vijana kibao pale amana vp hawajakidhi vigezo? By the way jamaa ni kama ma agents hivi wenye kaz ni sunshine ya wachina.

Kumbe ni ubabaishaji tu!,kwa nini wasieleze kuwa wao ni ma agent(recruitment agent) kuliko kuzungusha
 
Kwa kauzoefu kangu kadogo tu
kwenye soko la ajira,ukiona tangazo lipo kirahisi kirahisi kama hivi
basi hata terms za iyo kazi zitakua kama zakubabaisha babaisha tu!, ila
jaribuni wadau

"Kweli mzeeya"
 
nyie si mlishafanya usahili na vijana kibao pale amana vp hawajakidhi vigezo? By the way jamaa ni kama ma agents hivi wenye kaz ni sunshine ya wachina.

Mm mwenyewe nilifanya interview yao pale amana halafu walishindwa kunichukua kwani wao wanataka cheap labour halafu unalipwa kwa commission.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo wa ajira.. Mtangazaji huyu hayupo serious na anachokifanya. Kazi haiwezi tangazwa kama imeandikwa kwa sms
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom