WABANTU CO LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING tuma CV zako kupitia email yao ya hr@wabantu.com tuma sasa muda wa maombi ni mchache
Kwa kauzoefu kangu kadogo tu kwenye soko la ajira,ukiona tangazo lipo kirahisi kirahisi kama hivi basi hata terms za iyo kazi zitakua kama zakubabaisha babaisha tu!, ila jaribuni wadauWABANTU CO LTD WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WENYE TAALUMA YA SALES AND MARKETING tuma CV zako kupitia email yao ya hr@wabantu.com tuma sasa muda wa maombi ni mchache
nyie si mlishafanya usahili na vijana kibao pale amana vp hawajakidhi vigezo? By the way jamaa ni kama ma agents hivi wenye kaz ni sunshine ya wachina.
Kwa kauzoefu kangu kadogo tu
kwenye soko la ajira,ukiona tangazo lipo kirahisi kirahisi kama hivi
basi hata terms za iyo kazi zitakua kama zakubabaisha babaisha tu!, ila
jaribuni wadau
nyie si mlishafanya usahili na vijana kibao pale amana vp hawajakidhi vigezo? By the way jamaa ni kama ma agents hivi wenye kaz ni sunshine ya wachina.